Wanajamvi kwa nini huwa hamuwacheck wadau wenzenu PM

Wanajamvi kwa nini huwa hamuwacheck wadau wenzenu PM

daneyodry

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2017
Posts
350
Reaction score
227
Habarini wadau
Kwa wale single humu JF, ni kwa nini hatuintergret kwenye PM pia, sababu nataman laiti mdada mmoja angekuja PM aniliwaze jotokali, ila wapi!!
Badilikeni jamani, hem wadada njooni PM nafasi ni chache[emoji63] [emoji76] [emoji39] [emoji39]
SIEE WANAUME TUNATESEKA MNO!!! [emoji19]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu....
Yaani kama usemalo ni kweli, ebu nenda ukaoge maji ya maharage katikati ya soko saa saba mchana....
Maana sio bure, itakua unamkosi
 
hahahaha
Wakija utaona wanajirahisisha wacha tuwatafute huko pm zao
 
Back
Top Bottom