Wanajamvi nahitaji jagi la umeme kuchemshia maji ya lita na nusu

Wanajamvi nahitaji jagi la umeme kuchemshia maji ya lita na nusu

BANDOKITITA

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2022
Posts
1,484
Reaction score
2,852
Nashindwa kujua ni kampuni ipi naweza kupata jagi konki (original), naomba msaada wa mawazo tafadhali.

Liwe automatic (maji yakichemka ufikia centigrade mia linajikata lenyewe), ila lisiwe lakukaliza kwenye kitako nataka liwe limeunganika.
 
Wanajamvi nahitaji jagi la umeme kuchemshia maji Lita na nusu ila nashindwa kujua ni kampuni ipi naweza kupata jagi konki (original). Naomba msaada wa mawazo tafadhali.

Liwe automatic ( maji yakichemka ufikia centigrade mia linajikata lenyewe) ila lisiwe lakukaliza kwenye kitako nataka liwe limeunganika.
Nunua kodtec
 
Kanunue sufulia LA kuchemshia gesi au mkaa! UMEME WENYEWE UMEKATIKA KARIBU MIKOA YOTE!
Na ukiwepo ka haupo, na usipokuwepo ni kama haupo tu! Mabwawa yamekauka
 
Kanunue sufulia LA kuchemshia gesi au mkaa! UMEME WENYEWE UMEKATIKA KARIBU MIKOA YOTE!
Na ukiwepo ka haupo, na usipokuwepo ni kama haupo tu! Mabwawa yamekauka
Ha ha ha ha sufuria tena
 
Nililitumia chuo kikuu miaka ya 1990.....Long time.....daah
 
Hata ni la kukalisha, achana na kitako unganisha mwenyewe kiaina.
 
Back
Top Bottom