BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,484
- 2,852
Nunua kodtecWanajamvi nahitaji jagi la umeme kuchemshia maji Lita na nusu ila nashindwa kujua ni kampuni ipi naweza kupata jagi konki (original). Naomba msaada wa mawazo tafadhali.
Liwe automatic ( maji yakichemka ufikia centigrade mia linajikata lenyewe) ila lisiwe lakukaliza kwenye kitako nataka liwe limeunganika.
Shukrani sanaNunua kodtec
hahaha dahHahaha.......utaanza kujijibu soon
Ha ha ha ha sufuria tenaKanunue sufulia LA kuchemshia gesi au mkaa! UMEME WENYEWE UMEKATIKA KARIBU MIKOA YOTE!
Na ukiwepo ka haupo, na usipokuwepo ni kama haupo tu! Mabwawa yamekauka