wanajamvi naombwa msaada waujuzi paha

wanajamvi naombwa msaada waujuzi paha

AfricaUnited

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2010
Posts
2,367
Reaction score
1,293
wanajamvi nilikuwa naomba msaada kujua kuhusu huu mkopo wa selikali kwa wanafunzi kupitia bodi ya mikopo ya elimu ya juu,eti ni kweli hela na rudhuku wanayopewa wanafunzi wa udaktari,engineering na course nyingine HAWARUDISHI HELA HIZO,SELIKALI INAINGIA GHARAMA YA KUWASOMESHA?KAMA NI UKWELI MAPEMA KUNA NDUGU ZANGU HAWANA UWEZO WA KIFEDHA MAPEMA NIWAAMBIE WAAKAZANE NA SAYANSI WAJE CHUKUA UDACTARI.MSAADA PLEASE SI MAJUNGU

  • :help:
 
kwanini wao wasiruishe au wamekuwa miungu watu au si watanzani? kama vp soma hapa.1+1=11 au a e i o u
 
Back
Top Bottom