AfricaUnited
JF-Expert Member
- Jul 31, 2010
- 2,367
- 1,293
wanajamvi nilikuwa naomba msaada kujua kuhusu huu mkopo wa selikali kwa wanafunzi kupitia bodi ya mikopo ya elimu ya juu,eti ni kweli hela na rudhuku wanayopewa wanafunzi wa udaktari,engineering na course nyingine HAWARUDISHI HELA HIZO,SELIKALI INAINGIA GHARAMA YA KUWASOMESHA?KAMA NI UKWELI MAPEMA KUNA NDUGU ZANGU HAWANA UWEZO WA KIFEDHA MAPEMA NIWAAMBIE WAAKAZANE NA SAYANSI WAJE CHUKUA UDACTARI.MSAADA PLEASE SI MAJUNGU
- :help: