Wanajamvi nina wazo la kuanzisha kiwanda cha kutengeneza juisi fulani ya asili ila changamoto mdau wa kumshirikisha

Wanajamvi nina wazo la kuanzisha kiwanda cha kutengeneza juisi fulani ya asili ila changamoto mdau wa kumshirikisha

mpendwaeric

Member
Joined
Feb 19, 2018
Posts
10
Reaction score
5
nina wazo zuri kabisa na nimeliandika la kuanzisha kiwanda cha juisi ambayo ninaimani inahitajika sana tu ila shida mwenye mtaji wa kumshirikisha (wafanyabiashara wakubwa) nani nimuone maana naogopa kudhulumiwa wazo na watu.
Nani naweza kumfata au nikashirikiana naye tukafanya ndoto kuwa kweli??
 
Unataka mfanyabiashara mkubwa tu?? Halafu huna mtaji na hutaki kuibiwa wazo lako!! Aisee unaingia chaka kwa kujiona mjanja!! Yaani we uwe na wazo la kutengeneza juice halafu umtake Bakhresa awe chini ya wazo lako? Never on earth!! Nikushauri tu!wafanyabiashara wakubwa si rafiki wa watu wa aina yako! Watakuambia idea yako ni ya hovyo,then wanamwambia askari akuonyeshe mlango wa kutokea,kisha huku nyuma wanaanza kufyatua idea yako kuwa bidhaa out of your concent!! Huna cha kuwafanya! Bora ushirikiane na mimi mdogo mwenzako tuanzie chini wote na tukue wote!! Hilo wazo la kukaa round table na Mengi kujadili idea yako mpya ambayo 100% implementation inamtegemea yeye na bado upate angalau 50%share ni uongo! Think wisely
 
Back
Top Bottom