Unataka mfanyabiashara mkubwa tu?? Halafu huna mtaji na hutaki kuibiwa wazo lako!! Aisee unaingia chaka kwa kujiona mjanja!! Yaani we uwe na wazo la kutengeneza juice halafu umtake Bakhresa awe chini ya wazo lako? Never on earth!! Nikushauri tu!wafanyabiashara wakubwa si rafiki wa watu wa aina yako! Watakuambia idea yako ni ya hovyo,then wanamwambia askari akuonyeshe mlango wa kutokea,kisha huku nyuma wanaanza kufyatua idea yako kuwa bidhaa out of your concent!! Huna cha kuwafanya! Bora ushirikiane na mimi mdogo mwenzako tuanzie chini wote na tukue wote!! Hilo wazo la kukaa round table na Mengi kujadili idea yako mpya ambayo 100% implementation inamtegemea yeye na bado upate angalau 50%share ni uongo! Think wisely