Mpenzi Sarafina1
Hii kunitaja mimi wa kwanza kunamaanisha mi ndo kinara? hebu angalia inbox yako, kuna PM nimekutumia. Afu usimwambie mtu.
Karibu, mimi naitwa babu mkaguzi a.k.a Big braza ODM, babu wa wajukuu wa kike. Are you he/she?
Aisee hii itakuwa hatari hiyo line ya simu bora tuichomoe
Habari zenu wanajamvi, ni matumaini yangu wote mu wazima wa afya.
Leo ni mara yangu ya kwanza kujiunga na jamii forums ila nimekuwa msomaji wa muda mrefu sana na nimejikuta nikivutiwa kujiunga. Navutiwa sana nanyi wote wana jamvi kwani pamoja na mikwaruzano ya hapa na pale, huwa nafurahia mtu anapokuja na tatizo anapewa moyo sana na mwisho anajikuta tatizo lake limeisha na anakua na amani tele.
Shukrani kwa wote ninyi nitakaowasahau naomba mnisamehe ila nawapenda wote:
Aspirin, Rose 1980, Dena Amsi, Lizzy, Uprotocol, Darck City, Klorokwini, Susy, Wiselady, Mwanajamii 1, Bubu ataka kusema, The Finest, Teamo, Tausi mzalendo, woman of substance, pakajimy, Fidel, Acid, Afrodenzi, Preta, kibiritingoma, Askofu, Mzee Mwanakijiji, Kimey, Shantel, Kaizer, LD, Mbu, Mpendwa, Kakakiiza, gaga, St. RR, St. Paka mweusi, Miss Judith, Maria roza, husninyo, Mamushka, Chauro, Nyamayao, Genekai Keren-Happuch, Lily Flower, Chetuntu, Wit, Mwita Maranya, Firstlady 1, na wote niliowasahau nawapenda sana
asante kushukuru.habari zenu wanajamvi, ni matumaini yangu wote mu wazima wa afya.
Leo ni mara yangu ya kwanza kujiunga na jamii forums ila nimekuwa msomaji wa muda mrefu sana na nimejikuta nikivutiwa kujiunga. Navutiwa sana nanyi wote wana jamvi kwani pamoja na mikwaruzano ya hapa na pale, huwa nafurahia mtu anapokuja na tatizo anapewa moyo sana na mwisho anajikuta tatizo lake limeisha na anakua na amani tele.
Shukrani kwa wote ninyi nitakaowasahau naomba mnisamehe ila nawapenda wote:
Aspirin, rose 1980, dena amsi, lizzy, uprotocol, darck city, klorokwini, susy, wiselady, mwanajamii 1, bubu ataka kusema, the finest, teamo, tausi mzalendo, woman of substance, pakajimy, fidel, acid, afrodenzi, preta, kibiritingoma, askofu, mzee mwanakijiji, kimey, shantel, kaizer, ld, mbu, mpendwa, kakakiiza, gaga, st. Rr, st. Paka mweusi, miss judith, maria roza, husninyo, mamushka, chauro, nyamayao, genekai keren-happuch, lily flower, chetuntu, wit, mwita maranya, firstlady 1, na wote niliowasahau nawapenda sana
Habari zenu wanajamvi, ni matumaini yangu wote mu wazima wa afya.
Leo ni mara yangu ya kwanza kujiunga na jamii forums ila nimekuwa msomaji wa muda mrefu sana na nimejikuta nikivutiwa kujiunga. Navutiwa sana nanyi wote wana jamvi kwani pamoja na mikwaruzano ya hapa na pale, huwa nafurahia mtu anapokuja na tatizo anapewa moyo sana na mwisho anajikuta tatizo lake limeisha na anakua na amani tele.
Shukrani kwa wote ninyi nitakaowasahau naomba mnisamehe ila nawapenda wote:
Aspirin, Rose 1980, Dena Amsi, Lizzy, Uprotocol, Darck City, Klorokwini, Susy, Wiselady, Mwanajamii 1, Bubu ataka kusema, The Finest, Teamo, Tausi mzalendo, woman of substance, pakajimy, Fidel, Acid, Afrodenzi, Preta, kibiritingoma, Askofu, Mzee Mwanakijiji, Kimey, Shantel, Kaizer, LD, Mbu, Mpendwa, Kakakiiza, gaga, St. RR, St. Paka mweusi, Miss Judith, Maria roza, husninyo, Mamushka, Chauro, Nyamayao, Genekai Keren-Happuch, Lily Flower, Chetuntu, Wit, Mwita Maranya, Firstlady 1, na wote niliowasahau nawapenda sana
Habari zenu wanajamvi, ni matumaini yangu wote mu wazima wa afya.
Leo ni mara yangu ya kwanza kujiunga na jamii forums ila nimekuwa msomaji wa muda mrefu sana na nimejikuta nikivutiwa kujiunga. Navutiwa sana nanyi wote wana jamvi kwani pamoja na mikwaruzano ya hapa na pale, huwa nafurahia mtu anapokuja na tatizo anapewa moyo sana na mwisho anajikuta tatizo lake limeisha na anakua na amani tele.
Shukrani kwa wote ninyi nitakaowasahau naomba mnisamehe ila nawapenda wote:
Aspirin, Rose 1980, Dena Amsi, Lizzy, Uprotocol, Darck City, Klorokwini, Susy, Wiselady, Mwanajamii 1, Bubu ataka kusema, The Finest, Teamo, Tausi mzalendo, woman of substance, pakajimy, Fidel, Acid, Afrodenzi, Preta, kibiritingoma, Askofu, Mzee Mwanakijiji, Kimey, Shantel, Kaizer, LD, Mbu, Mpendwa, Kakakiiza, gaga, St. RR, St. Paka mweusi, Miss Judith, Maria roza, husninyo, Mamushka, Chauro, Nyamayao, Genekai Keren-Happuch, Lily Flower, Chetuntu, Wit, Mwita Maranya, Firstlady 1, na wote niliowasahau nawapenda sana
Unaniharibia ujue Lizzy my dear?Babu mnoko hafai popote...hata JeiEfu!
Kiherehere!Aisee umeona ehee!!!!
Please...dont!Yani akiendelea namwombea ban!
Kiherehere!Tena LIFE BAN
You are welcome darling......nakutahadharisha usisikilize maneno ya mapashkuna na viherehere wa JF. Watakuharibia mpango mzima na babu yako mpenzi.Asante babu wa wajukuu wa kike, jinsia yangu nitakutumia kwa pm, nataka uijue wewe tu, katika post zako zote sijawahi kusoma ikanihuzunisha zote huwa lazima nitabasamu nikisoma hata kuwe na kitu kimeniudhi ndio maana umekua wa kwanza kwenye list.
Wivu siyo dawa.....maisha ya leo ni kufanya kazi, mke na mume ni kusaidiana.mpaka sasa una senksi zero wakati babu Asprin ndo anaongoza kwa senksi 8
We nilivokugeuka mbona ulifurahi....utaki na wenzio wamfaidi babu? Uchoyo!Weeee!Wazuri siku zote ndo tunasahaulika!Ngoja niende zangu!
Sarafina huyo anaejiita babu akikugeuka usinililie!
Kimbelembele! Sarafina1 huninyang'anyi, nakuapia.Lizzy Babu Loliondo huyo tunamjua na vikombe vyake hapa JF:lol::lol:
Wameshaanza kukuharibu? haukuwa hivi. Sasa huyo Lizzy ndo unamwamini sana? Shauri yako.Hivi huyo babu huwa anageuka watu. Asante lizzy kwa kunitahadharisha mapema mpenzi
Unoko tuuuu! Utajiju, kifaa ndo kishaingi kwenye hekalu la babu yake. Sarafina hebu nletee ugoro na mkongojo wangu tafazali.......niko huku uvunguni.Si bora angekua na upako kama wa Loliondo..huyu watu wanakigombania kikombe chake bila kujua kitaleta madhara baadae!
mhh watu kwa majidai kha1...karibu sarafina.
thanks my Sarafina1
nakupenda pia
karibu JF
Woga? Usinifanyie hivi, miye mtoto wa mwanamke mwenzio. Kumbuka, hata bibi aliwahi kuwa msichana.ha hahaaaaaaaa
Asprin lol
sidanganyiki!!!!!!!!!!
Hata wewe?sarafina karibu sana mamy,,,uwe makini na huyu babu aitwae odm,,:nod:
loh Asprin!! kama bibi alishawahi kuwa msichana si hata babu alishawahi kuwa kijana??
kila jambo lina wakati na majira yake lol!!!
Hata wewe?