Wanajeshi 10000 wa Urusi wameshajisalimisha kwa Ukraine toka September katika kampeni iitwayo nahitaji kuishi

Messenger RNA

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2022
Posts
1,411
Reaction score
3,712
Takribani wanajeshi elfu kumi (10000) wa Urusi wamejisalimisha kwa Ukraine kutoka mwezi wa tisa-2022, baada ya Ukraine kuanzisha kampeni inayojulikana kama nataka kuishi ambapo askari hupiga au kuchati kwenye kituo kinachoratibu mpango huo, akikamilisha taratibu huchukuliwa na kupelekwa kwenye kambi ya wafungwa wa kivita.

===

Almost 10,000 Russian soldiers 'surrendered' via 'I Want to Live' hotline.

Almost 10,000 Russian soldiers have contacted Ukraine's dedicated surrender helpline since September to give themselves up, according to Ukraine's Coordinating Headquarters for the Treatment of Prisoners of War (CHTPW).

The 24/7 project, named "I Want to Live", allows enemy combatants to contact an operator via phone or chatbot and be transferred to a prisoner-of-war camp.

A report published by CHTPW said more than 14 million people have visited the website, 84% of whom were based in Russia.

"In addition to the Russian military, their relatives and loved ones contact the hotline," the agency wrote on Telegram.

"Often mobilised Russians who arrived in Ukraine as part of the occupying army do not have access to the internet."
SKY NEWS
 
Mzee Putin anayo hii taarifa kweli ?....au wawakilishi wake humu JF ?

1954 Mathanzua F16 Falcon Upepo wa Pesa
 
Hii ni Channel ya Mockingbird Media ya CIA,so no sensible person can believe it,it's fake news.Dah,SkyNews??????!!!!!!
 
Takribani wanajeshi elfu kumi (10000) wa Urusi wamejisalimisha kwa Ukraine kutoka mwezi wa tisa-2022, baada ya Ukraine kuanzisha kampeni inayojulikana kama nataka kuishi ambapo askari hupiga au kuchati kwenye kituo kinachoratibu mpango huo, akikamilisha taratibu huchukuliwa na kupelekwa kwenye kambi ya wafungwa wa kivita.

===

Almost 10,000 Russian soldiers 'surrendered' via 'I Want to Live' hotline.

Almost 10,000 Russian soldiers have contacted Ukraine's dedicated surrender helpline since September to give themselves up, according to Ukraine's Coordinating Headquarters for the Treatment of Prisoners of War (CHTPW).

The 24/7 project, named "I Want to Live", allows enemy combatants to contact an operator via phone or chatbot and be transferred to a prisoner-of-war camp.

A report published by CHTPW said more than 14 million people have visited the website, 84% of whom were based in Russia.

"In addition to the Russian military, their relatives and loved ones contact the hotline," the agency wrote on Telegram.

"Often mobilised Russians who arrived in Ukraine as part of the occupying army do not have access to the internet."
SKY NEWS
Hawana sababu yakufa, nakubaliana na wao! yeye Putin mtoto wake yuko vitani? why should you die?
 
Propaganda hata kama ni kweli tuseme still haisaidiii
 
Mm sikatai kwamba ni propa or not, hayo unajua wewe bwashee pole
Hivi kweli mkuu watoto na wazee kama hawa ndio wawafanye wagner kutaka ufungwa huko.
Screenshot_20230303-144910.jpg

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kamanda swafi sana, mzee wa chuma huyo, kawazuia warusi miezi yote hiyo dah mrusi ovyo yaani ameshindwa kutwaa mji huo mda wote et wazee na watoto wamezuia hii aibu sasa
We jamaa.unajua hata unaongeanini kweli miezi yote hata ingekua ni mwaka tayari mji ushakua under wagner au ndio mnajifariji tu

Kamanda unafurahia ukiwa wapi brigadier.....??? Hongera zenu kwa kichapo mnachokitoa kwa wazee na watoto nusu mwaka.

Putin ni nomaaaaaaa!!! Amezibiwa njia miezi sita na wazee????
 
Kamanda swafi sana, mzee wa chuma huyo, kawazuia warusi miezi yote hiyo dah mrusi ovyo yaani ameshindwa kutwaa mji huo mda wote et wazee na watoto wamezuia hii aibu sasa
Ungejua huo mji ulivyokuwa unalindwa na NATO wala usingeandika huo ujinga. Zelensiky ameapa mala nyingi sana kuwa hawataweza ku afford kuupoteza huo mji, alisema watapigana kufa na kupona kuulinda huo mji usipotee. Lakini the end of it., umeshamegwa tayari
 
Back
Top Bottom