Wanajeshi 10000 wa Urusi wameshajisalimisha kwa Ukraine toka September katika kampeni iitwayo nahitaji kuishi

Takribani wanajeshi elfu kumi (10000) wa Urusi wamejisalimisha kwa Ukraine kutoka mwezi wa tisa-2022, baada ya Ukraine kuanzisha kampeni inayojulikana kama nataka kuishi ambapo askari hupiga au kuchati kwenye kituo kinachoratibu mpango huo, akikamilisha taratibu huchukuliwa na kupelekwa kwenye kambi ya wafungwa wa kivita.

===

Almost 10,000 Russian soldiers 'surrendered' via 'I Want to Live' hotline.

Almost 10,000 Russian soldiers have contacted Ukraine's dedicated surrender helpline since September to give themselves up, according to Ukraine's Coordinating Headquarters for the Treatment of Prisoners of War (CHTPW).

The 24/7 project, named "I Want to Live", allows enemy combatants to contact an operator via phone or chatbot and be transferred to a prisoner-of-war camp.

A report published by CHTPW said more than 14 million people have visited the website, 84% of whom were based in Russia.

"In addition to the Russian military, their relatives and loved ones contact the hotline," the agency wrote on Telegram.

"Often mobilised Russians who arrived in Ukraine as part of the occupying army do not have access to the internet."
SKY NEWS
Hakuna jipya hapo wana 10,000 wakati Urusi wanao 23,000 sasa objectively sijui unajaribu kuprove nn
 
Ungejua huo mji ulivyokuwa unalindwa na NATO wala usingeandika huo ujinga. Zelensiky ameapa mala nyingi sana kuwa hawataweza ku afford kuupoteza huo mji, alisema watapigana kufa na kupona kuulinda huo mji usipotee. Lakini the end of it., umeshamegwa tayari
Duh, kwahiyo NATO ndo hao wazee na watoto jamani...!!! Na kamanda wao hao NATO ndo huyo mzee uliemtaja hapo Zelensiki....???? Kwahiyo NATO ni kundi la wazee na watoto na walikuwa wakipigana kulinda Bakimuti et bwashee?

Ebu Urusi, kamateni haraka sana huyo mzee Zelensiki kamanda wa wazee na watoto hao wa NATO, mfungulieni kesi ya kuwatesa wazee na watoto hao wa NATO sawa
 
Takribani wanajeshi elfu kumi (10000) wa Urusi wamejisalimisha kwa Ukraine kutoka mwezi wa tisa-2022, baada ya Ukraine kuanzisha kampeni inayojulikana kama nataka kuishi ambapo askari hupiga au kuchati kwenye kituo kinachoratibu mpango huo, akikamilisha taratibu huchukuliwa na kupelekwa kwenye kambi ya wafungwa wa kivita.

===

Almost 10,000 Russian soldiers 'surrendered' via 'I Want to Live' hotline.

Almost 10,000 Russian soldiers have contacted Ukraine's dedicated surrender helpline since September to give themselves up, according to Ukraine's Coordinating Headquarters for the Treatment of Prisoners of War (CHTPW).

The 24/7 project, named "I Want to Live", allows enemy combatants to contact an operator via phone or chatbot and be transferred to a prisoner-of-war camp.

A report published by CHTPW said more than 14 million people have visited the website, 84% of whom were based in Russia.

"In addition to the Russian military, their relatives and loved ones contact the hotline," the agency wrote on Telegram.

"Often mobilised Russians who arrived in Ukraine as part of the occupying army do not have access to the internet."
SKY NEWS
Source: LGBTQ clowns🤣🤣🤣
 
Duh, kwahiyo NATO ndo hao wazee na watoto jamani...!!! Na kamanda wao hao NATO ndo huyo mzee uliemtaja hapo Zelensiki....???? Kwahiyo NATO ni kundi la wazee na watoto na walikuwa wakipigana kulinda Bakimuti et bwashee?

Ebu Urusi, kamateni haraka sana huyo mzee Zelensiki kamanda wa wazee na watoto hao wa NATO, mfungulieni kesi ya kuwatesa wazee na watoto hao wa NATO sawa
Wa NATO wameuwawa na wengine wameshakimbia kitambo, hao wazee na watoto wameingizwa cha kike
 
Inavyoonekana wewe ni mtata kweli, lakini tangazo la Chongolo linakuhusu bwashee
Alichoongea Chongolo kina make sense. Sasahivi watu wengi wanaomaliza vyuo vikuu ndio wanaoongoza kwa uzezeta mitaani, sasahivi bora vyuo vyote vikuu vibadilishwe viwe vyuo vya VETA
 
Umeona ee, vyuo vikuu vinafundisha maadili ya nje like ushoga na usherati tu

Graduates hata kuziba pancha hawezi, hawa graduates wa bongo ni maporn stars.

Waende VETA warekebishwe kwanza ili waje wacope na jamii, nimependa tangazo la Chongolo na hakika serikali ifanyie kazi
 
Hivi kale kamji maarufu Kwa chumvi mmeshakachukua?.mbona sielewi.
Naona mmeanza kuodogesha baada ya hali kua mbaya

Hule ni mjii wenye utajiri wa viwanda ukraine
Hule ni mji wenye mahandaki makubwa kuliko mji wowote ukraine
Hule ni mji tajiri ww chumvi na mvinyo ukraine
Na ndio maana comedian zele alisema ataulinda kwa gharama yoyote lakini sasa upo kama ulivyo kua soleder tunasubiri siku aukabdhi kwq matamshi rasmi kama alivyo fanya soleder maana teyari bakhmut iko chini ya wagner tangu sasa.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wangeonyeshwa kwenye media kama wale wa Azov batalian walivyoonyeshwa baada ya kutekwa pale Moriopol city.
 
Unataka kutulisha propaganda za magharibi! Jaribu basi kujitegemea kiakili.
 
Naona mmeanza kuodogesha baada ya hali kua mbaya

Hule ni mjii wenye utajiri wa viwanda ukraine
Hule ni mji wenye mahandaki makubwa kuliko mji wowote ukraine
Hule ni mji tajiri ww chumvi na mvinyo ukraine
Na ndio maana comedian zele alisema ataulinda kwa gharama yoyote lakini sasa upo kama ulivyo kua soleder tunasubiri siku aukabdhi kwq matamshi rasmi kama alivyo fanya soleder maana teyari bakhmut iko chini ya wagner tangu sasa.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Bakhmut iko wapi?
 
Hii ni kama inavyotengenezwa kitu inaitwa Ukraine Counteroffenssive. Ukraine hivi karibuni amepoteza sana watu pamoja na nchi. Ndio maana baadhi ya nchi huko Ulaya hazina morale wa kuendelea kuisaidia Ukraine. Kutwa kucha wanamhimiza China ili amshawishi Mrusi vita iishe.
 
Back
Top Bottom