Wanajeshi 14 wa Israel waangamizwa wakijaribu kuingia Lebanon

Leta na idadi ya Hezbollah waliokufa tulimganishe, watu na mapenzi yenu kwa magaidi
Idadi ya vifo kwa Hizbullah au Hamas sio habari kwasababu ya udogo wao kwa kila kitu, lakini kwa Israel hata awe mmoja iNAKUWA NI HABARI. Siku Israel akipigana na nchi nyingine basi hato ndipo weka ulinganifu wa takwimu.

Pia iruhusu akili yako iwe huru bila kuongozwa na mihemko ya kidini
 
Haja ya kuleta habari ipo kwasababu siyo Kila mmoja ana taarifa hizo. Halafu tuwekee ushahidi wa hao wanajeshi wengi wa Israeli walioingia Lebanon.

Ninyi akili zenu ndio mmeziruhusu zitawaliwe na udini, Si kila siku mnajitapa hapa kuwa Hezbollah ina silaha kuizidi au kulinganisha kabisa na Israel? Leo imekuaje Tena unaishusha hadhi kiasi hiki
 
Kiukweli hii vita si rahisi Kwa Israel kama inavyoaminika hapa na wengine. Hezbollah wako katika preparation Kwa miaka kibao. So tutarajie vita ngumu zaidi pengine kuliko Ile ya Kule Gaza
 
Nickson pole ndio ukubwa n utamu w vita. Amani amtaki nyie mnamaguvu wahuni wamejipanga sio poa ww uwe uhaesabu tu uko mbele tutajua wamgapi. Pale wakianza kusaka watu adi uku kwetu😩😩😩
 
Nimeona kamanda wa hii Unit kafyekwa
 
BBC Wamesema amekufa mmoja Capt Eitan Yitzhak Oster age 22 nikajiuliza hivi hawa BBC wana akili kweli??? mwanajeshi anakufaje mmoja tena ndio kamanda wa Iile platoon?? alikua anacommand nani mpaka auwawe yeye wakati yeye anakua kwenye Command Post??aliokuawa anawaamuru washambulie na wasonge mbele most likely ndio wangeuwawa.....

Ukweli ni kwamba Mhanga mkubwa kwenye vita ni Ukweli na nmdio maana Israel na Marekani ni waongo mnooo yaani na media zote wanazimiliki wao..
 
Utawaweza hao wavaa magagulo??

Kutwa nzima wanashinda na magagulo yao
 
🤣🤣😂😂🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…