Wanajeshi 14 wa Israel waangamizwa wakijaribu kuingia Lebanon

Wanajeshi 14 wa Israel waangamizwa wakijaribu kuingia Lebanon

Wapo kwenye kikao wanajadili namna ya kuwakimbia Hizbollah huko kaskazini tangu jana hospitali zimezidiwa na casualties. Askari waliuawa ni wengi kwa siku 2 hizi huko North wakijaribu kuingia Lebanon.

Kamwe Israel haiwezi Hizbollah kwa vita ya ardhini yeye anachoweza ni kurusha mabomu kwa kutumia ndege baaasi.

Free Palestine, Viva Iran
 
Kipigo mnachopata sio rahisi kusimulia, angalia population ya wayahudi na waarabu ndio mjue kuwa mmeshindwa dhidi yao,
Shida yako hauruhusu akili yako ifikirie nje ya boksi.
Hiyo Israel unayosemea inapigana na makundi ya washika silaha wenye limited weapons hao kina Hamas na Hizbollah.
Na bado wanafeli hao Israel,hivi unajua Israel ilitumia wanajeshi laki 5 kupambana na wanamgambo elfu 28 wa Hamas!?
Je mateka waliokolewa!?
Halafu Israel ipo hapo kwa fadhila za USA,UK, Germany na France.
Haya mataifa ndio yanamkingia sana kifua mzayuni.
Laa sivyo angeshatoweka hapo.
HIzbollah kumshambulia tu USA katuma jeshi na msaada wa kijeshi wa $ 8 billions.
Je angepigana na nchi kama Iraq!?
 
Hawajifikia idadi hiyo make nimeona aljazeera Israel wamesema wanajeshi wao waliokufa ni 8
 
Shida yako hauruhusu akili yako ifikirie nje ya boksi.
Hiyo Israel unayosemea inapigana na makundi ya washika silaha wenye limited weapons hao kina Hamas na Hizbollah.
Na bado wanafeli hao Israel,hivi unajua Israel ilitumia wanajeshi laki 5 kupambana na wanamgambo elfu 28 wa Hamas!?
Je mateka waliokolewa!?
Halafu Israel ipo hapo kwa fadhila za USA,UK, Germany na France.
Haya mataifa ndio yanamkingia sana kifua mzayuni.
Laa sivyo angeshatoweka hapo.
HIzbollah kumshambulia tu USA katuma jeshi na msaada wa kijeshi wa $ 8 billions.
Je angepigana na nchi kama Iraq!?
Ndiomaana ya taifa teule, hatakama ingetumia wanajeshi zaidi ya million Bado waarabu kwa population yao hawawezi kuifuta Israel, iwe kwa msaada wa marekani au wa yeyote
 
Kuingia wameingia na wamezama ndani ya Lebanon na wapo ndani, kufa ktk vita ni lazima ishu waliokufa ni asilimia ngapi!! Wafuga majini hawathubutu kuingiza wanajeshi Israel, wakiingia wanavaa mabaibui masaa machache na kukimbia mitaroni.
 
Usichokijua mdogo wangu ni kuwa haya unayoshabikia impact yake itakugusa pakubwa haswa!

We chekelea tu mauwaji na kuchafuka kwa hali ya hewa huko middle east
Vijana wetu wapo busy kushangilia vita, huku wakiwa hawajui athari zake kwa uchumi wa dunia. Leo hii tunanunua mafuta ya petrol na dizeli kwa shilingi 3000+ kwa lita! Na wakati kabla ya vita ya Urusi na Ukraine, bei ya lita moja ilikuwa ni nusu ya hii bei ya sasa.
 
Wamekaa kikao cha kujadili maziko hapo Tel Aviv
 
Ilikuwa mapema mno kwa Israel kuanza ground operation!
Inaonekana kampeni yake ya Air strikes bado haijafikia malengo yake ya kuidhoofisha Hezibollar.
 
Wanajeshi wengi wameingia Lebanon hao 14 ni wachache sanaa hakukuwa na haja hata kuleta habari
Myahudi mweusi wa Liwale ume comment kinyonge sana,

Nani amekupa mamlaka hapa JF ya kuwapangia watu kipi cha kufunguliwa uzi na kipi sio cha kufunguliwa uzi?

Wewe hufurahi kupigwa Wayahudi waliomtesa na kumsulubu Mungu wako?
 
Kwa hii vita ya Ground Israel watapoteza wanajeshi wengi sana...Kwanza Hizbollah wanajua hilo eneo vizuri wamekua wanajiandaa kwa muda mrefu kukabiliana na aina hii ya vita . Israel aweza kuwa ananunua taarifa za kijasusi na kuwaua Makamanda wa Hizbollah kwa kutumia madege na missile nzito nzito ila Infatry ni tofauti watapigwa sana.
Lakini mkuu, mbona wanasema Israel ana watu wengi sana hapo Lebanon na inaonyesha analifahamu pia hilo eneo huoni ngoma itakuwa tough pande zote?
 
Sasa nyie wakuresh wa Nyandira muwe na kauli moja tujue wanajeshi wangapi wa Israel wamekufa. Wewe Mangi umesema 14, Harmonize wa Jf yeye kaleta uzi kasema 30 na kulikiwa na uzi wa Ritz yeye kasema 10 na aliufuta muda. Malaria 2 yeye kasema 7 ilhali FaizaFoxy yeye kasema 80 wameuawa. Sasa tupeni kauli moja na muwe mnasoma na kupitia nyuzi kabla hamjapost nyingine kwani mnatujajazia server tu humu JF.
Ni Askari 8 wameuwawa na 7 wamejeruhiwa.

Source:Aljazeera English.
 
Israeli awe makini na hii movie, anaweza kuingia kwenye vita ambayo haitaisha zaidi zaidi itampa stress tu, hapo Lebanon kwa sasa kuna wapiganaji wengi sana hasa kutoka Afghanistan, Yemen na Iraq na hiyo ndio vita waliokuwa wanasubiri.

Unapofanya ground invansion na infantry kwa kucross border ukitokea nyumbani kwako na kuingia kwa adui ambaye ni jirani yako make sure unashinda hiyo vita vinginevyo unakwenda kuingia hasara kubwa sana.
 
Unataka wakifa wangapi hivi ndio walete habari?

Watu na mapenzi yenu na Israel, hamjambo kwa kweli
Na ndio haohao wanaotuambia mwanajeshi 1 wa Israel ni sawa na wanajeshi 50+ wa mataifa mengine, sa kwa nini 14 anaona wachache?
 
BBC Wamesema amekufa mmoja Capt Eitan Yitzhak Oster age 22 nikajiuliza hivi hawa BBC wana akili kweli??? mwanajeshi anakufaje mmoja tena ndio kamanda wa Iile platoon?? alikua anacommand nani mpaka auwawe yeye wakati yeye anakua kwenye Command Post??aliokuawa anawaamuru washambulie na wasonge mbele most likely ndio wangeuwawa.....

Ukweli ni kwamba Mhanga mkubwa kwenye vita ni Ukweli na nmdio maana Israel na Marekani ni waongo mnooo yaani na media zote wanazimiliki wao..
BBC gani unaangalia? mbona wanasema ni 8?
 
Wapo kwenye kikao wanajadili namna ya kuwakimbia Hizbollah huko kaskazini tangu jana hospitali zimezidiwa na casualties. Askari waliuawa ni wengi kwa siku 2 hizi huko North wakijaribu kuingia Lebanon.

Kamwe Israel haiwezi Hizbollah kwa vita ya ardhini yeye anachoweza ni kurusha mabomu kwa kutumia ndege baaasi.

Free Palestine, Viva Iran
Kikao ni cha Ayyatolah, wanataka wamfuate humour kwenye mashimo.
 
Back
Top Bottom