Wanajeshi 14 wa Israel waangamizwa wakijaribu kuingia Lebanon

Wapo kwenye kikao wanajadili namna ya kuwakimbia Hizbollah huko kaskazini tangu jana hospitali zimezidiwa na casualties. Askari waliuawa ni wengi kwa siku 2 hizi huko North wakijaribu kuingia Lebanon.

Kamwe Israel haiwezi Hizbollah kwa vita ya ardhini yeye anachoweza ni kurusha mabomu kwa kutumia ndege baaasi.

Free Palestine, Viva Iran
 
Kipigo mnachopata sio rahisi kusimulia, angalia population ya wayahudi na waarabu ndio mjue kuwa mmeshindwa dhidi yao,
Shida yako hauruhusu akili yako ifikirie nje ya boksi.
Hiyo Israel unayosemea inapigana na makundi ya washika silaha wenye limited weapons hao kina Hamas na Hizbollah.
Na bado wanafeli hao Israel,hivi unajua Israel ilitumia wanajeshi laki 5 kupambana na wanamgambo elfu 28 wa Hamas!?
Je mateka waliokolewa!?
Halafu Israel ipo hapo kwa fadhila za USA,UK, Germany na France.
Haya mataifa ndio yanamkingia sana kifua mzayuni.
Laa sivyo angeshatoweka hapo.
HIzbollah kumshambulia tu USA katuma jeshi na msaada wa kijeshi wa $ 8 billions.
Je angepigana na nchi kama Iraq!?
 
Hawajifikia idadi hiyo make nimeona aljazeera Israel wamesema wanajeshi wao waliokufa ni 8
 
Ndiomaana ya taifa teule, hatakama ingetumia wanajeshi zaidi ya million Bado waarabu kwa population yao hawawezi kuifuta Israel, iwe kwa msaada wa marekani au wa yeyote
 
Kuingia wameingia na wamezama ndani ya Lebanon na wapo ndani, kufa ktk vita ni lazima ishu waliokufa ni asilimia ngapi!! Wafuga majini hawathubutu kuingiza wanajeshi Israel, wakiingia wanavaa mabaibui masaa machache na kukimbia mitaroni.
 
Usichokijua mdogo wangu ni kuwa haya unayoshabikia impact yake itakugusa pakubwa haswa!

We chekelea tu mauwaji na kuchafuka kwa hali ya hewa huko middle east
Vijana wetu wapo busy kushangilia vita, huku wakiwa hawajui athari zake kwa uchumi wa dunia. Leo hii tunanunua mafuta ya petrol na dizeli kwa shilingi 3000+ kwa lita! Na wakati kabla ya vita ya Urusi na Ukraine, bei ya lita moja ilikuwa ni nusu ya hii bei ya sasa.
 
Wamekaa kikao cha kujadili maziko hapo Tel Aviv
 
Ilikuwa mapema mno kwa Israel kuanza ground operation!
Inaonekana kampeni yake ya Air strikes bado haijafikia malengo yake ya kuidhoofisha Hezibollar.
 
Wanajeshi wengi wameingia Lebanon hao 14 ni wachache sanaa hakukuwa na haja hata kuleta habari
Myahudi mweusi wa Liwale ume comment kinyonge sana,

Nani amekupa mamlaka hapa JF ya kuwapangia watu kipi cha kufunguliwa uzi na kipi sio cha kufunguliwa uzi?

Wewe hufurahi kupigwa Wayahudi waliomtesa na kumsulubu Mungu wako?
 
Lakini mkuu, mbona wanasema Israel ana watu wengi sana hapo Lebanon na inaonyesha analifahamu pia hilo eneo huoni ngoma itakuwa tough pande zote?
 
Ni Askari 8 wameuwawa na 7 wamejeruhiwa.

Source:Aljazeera English.
 
Israeli awe makini na hii movie, anaweza kuingia kwenye vita ambayo haitaisha zaidi zaidi itampa stress tu, hapo Lebanon kwa sasa kuna wapiganaji wengi sana hasa kutoka Afghanistan, Yemen na Iraq na hiyo ndio vita waliokuwa wanasubiri.

Unapofanya ground invansion na infantry kwa kucross border ukitokea nyumbani kwako na kuingia kwa adui ambaye ni jirani yako make sure unashinda hiyo vita vinginevyo unakwenda kuingia hasara kubwa sana.
 
Unataka wakifa wangapi hivi ndio walete habari?

Watu na mapenzi yenu na Israel, hamjambo kwa kweli
Na ndio haohao wanaotuambia mwanajeshi 1 wa Israel ni sawa na wanajeshi 50+ wa mataifa mengine, sa kwa nini 14 anaona wachache?
 
BBC gani unaangalia? mbona wanasema ni 8?
 
Kikao ni cha Ayyatolah, wanataka wamfuate humour kwenye mashimo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…