Wanajeshi 3 kati ya 4 wa Marekani wapatikana wakiwa wamekufa katika bwawa walimokuwa akifanya mazoezi nchini Lithuania

State Propaganda

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2024
Posts
618
Reaction score
1,442
Hii ni baada ya juhudi nzito ya Vikosi vya NATO,pamoja na jeshi la Marekani, Lithuania, na Poland, vilivyokuwa vikishirikiana kutafuta chombo cha M88A2 Hercules ya Marekani iliyozama ikiwa na wanajeshi wanne wa Brigedi ya 1 ya Kivita walipotea wakati wa mazoezi katika bwawa(swamp) nchini Lithuania.

Jitihada za mkuutafuta mwili mmoja bado zinaendelea.
================
NATO forces, including US, Lithuanian, and Polish militaries, intensify recovery efforts for sunken American M88A2 Hercules and bodies of four 1st Armored Brigade soldiers lost in swamp exercise

View: https://x.com/RT_com/status/1906549835165261981?t=JqkKL3TToj9xfFk44-u4vg&s=19
 
Attachments

  • 20250331_192018.jpg
    20250331_192018.jpg
    304.3 KB · Views: 29
This We'll Defend.

Hooah.

Go Army.

Go USA.

Thank you for your service.

21 Gun Salute.

RIP.
 
Basi utakuwa kama sio upinde basi muisilamu mmoja jingaa ........nyie ndio huwa mnachuki za ajabu ajabu hata kama marinda ni yako........punguza gubu alikusaidii kitu...........
Wewe jamaa umechafukwa kwa lipi!!!
 
Basi utakuwa kama sio upinde basi muisilamu mmoja jingaa ........nyie ndio huwa mnachuki za ajabu ajabu hata kama marinda ni yako........punguza gubu alikusaidii kitu...........
Sasa unataka aende kinyume na mafundisho ya Quran?
 
Wanafiki wote hao...............mtume wao alioa mapema kabisa kitoto cha miaka 9 ..........sasa nenda kwenye nyumba ya muislam mwambie namtaka mtoto wako nimuoe kwa mahari kubwa kabisa uone kama atakuruhusu............je mnapingana na maandiko yenu lakini kwenye kuoa wake wa 4 hampingani nao utasikia suna........ kwa hiyo mna nataka sitaki

Kapakwe mafuta utoe hewa ya chuki
 
Basi utakuwa kama sio upinde basi muisilamu mmoja jingaa ........nyie ndio huwa mnachuki za ajabu ajabu hata kama marinda ni yako........punguza gubu alikusaidii kitu...........
Unachukia mianajeshi ya us kufa? Ife tu,maana us ni nchi iliyo chanzo Cha vita duniani.Kwa ajili ya kulinda maslahi Yao,wapo tayari kufanya chochote,popote....
 
Polen nasikia iran kimeumana...............
 
Basi utakuwa kama sio upinde basi muisilamu mmoja jingaa ........nyie ndio huwa mnachuki za ajabu ajabu hata kama marinda ni yako........punguza gubu alikusaidii kitu...........
mimi na baba yako upinde
 
Back
Top Bottom