Wanajeshi 30 wa Marekani wahofiwa kufa baada meli yao kulipuliwa

green rajab

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
12,387
Reaction score
39,119
Habari zilizotufikia hivi punde meli ya Kijeshi ya Marekani ya USS Libert imepigwa na makombora ya Iran nakulipuliwa huko Ghuba ya uajemeni na wanajeshi 30 wanahofiwa kufa

BREAKING: It's reported that American Navy intelligence vessel 'USS Liberty' has just been hit with a barrage of Iranian missiles off the coast of Bahrain in the Persian Gulf.

Over 30 American salilors are feared dead

........hii ni April....

IMG_20240402_175005.jpg
 
Over 30 American salilors are feared dead.
Hamna haja ya ku fear kama jombo lime drown lazma wajuba wameng'ata shuka tu.
 
Habari zilizotufikia hivi punde meli ya Kijeshi ya Marekani ya USS Libert imepigwa na makombora ya Iran nakulipuliwa huko Ghuba ya uajemeni na wanajeshi 30 wanahofiwa kufa

BREAKING: It's reported that American Navy intelligence vessel 'USS Liberty' has just been hit with a barrage of Iranian missiles off the coast of Bahrain in the Persian Gulf.

Over 30 American salilors are feared dead

........hii ni April....

View attachment 2951919
Habari from Taqiyyah news room... Wenye dini wanahusudu kudaganya and Allah kawaruhu kuwa sio dhambi Sin-war
 
Baada ya kufuatilia vyanzo mbalimbali kuna habari kuwa Iran imeshambulia Base moja ya Wamarekani ndani ya Syria lakini hakuna Mtu aliyekufa.
Hali ya base ikoje!?..Kama taarifa wametoa wamarekani kwamba hakuna aliyekufa,usiamini
 
Huyu jamaa ana akili za kitoto sana

Leo ni tarehe 1 April siku ya wajinga duniani, nahisi anatutingisha akili huyu

Kama ni kweli anatutingisha vichwa, hii tumefanya enzi za utoto

Aache utoto
 
Sawa,mi nimesema Kama waliosema hakuna mfu baada ya shambulio ni marekani, usiamini
Nilikuwa naiangalia hiyo Base haijasambaratishwa kama ile ya Iraq na kwasababu Ayatolah hajaambulia mnofu hata mmoja Marekani wameona wasikuze mambo kwasasa.
 
Back
Top Bottom