inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Yemen Ina mgawanyo karibu sawa kimadhehebu,na Iran Ina bifu na saudiaAyatolah ni hatari hata kwa Waisilamu wa Madhehebu ya Sunni kwa mfano huko Yemen ameiondoa Serikali halali ya Sunni katika Mji Mkuu wa Sanaa.