green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Hamna haja ya ku fear kama jombo lime drown lazma wajuba wameng'ata shuka tu.Habari zilizotufikia hivi punde meli ya Kijeshi ya Marekani ya USS Libert imepigwa na makombora ya Iran nakulipuliwa huko Ghuba ya uajemeni na wanajeshi 30 wanahofiwa kufa
BREAKING: It's reported that American Navy intelligence vessel 'USS Liberty' has just been hit with a barrage of Iranian missiles off the coast of Bahrain in the Persian Gulf.
Over 30 American salilors are feared dead.
Habari from Taqiyyah news room... Wenye dini wanahusudu kudaganya and Allah kawaruhu kuwa sio dhambi Sin-warHabari zilizotufikia hivi punde meli ya Kijeshi ya Marekani ya USS Libert imepigwa na makombora ya Iran nakulipuliwa huko Ghuba ya uajemeni na wanajeshi 30 wanahofiwa kufa
BREAKING: It's reported that American Navy intelligence vessel 'USS Liberty' has just been hit with a barrage of Iranian missiles off the coast of Bahrain in the Persian Gulf.
Over 30 American salilors are feared dead
........hii ni April....
View attachment 2951919
Kwa kuwa haikufurahishiHii Story itakuwa ni Fake News.
Hapana,nimeangalia kwenye Vyombo vya Habari kadhaa sijaiona hiyo habari.Kwa kuwa haikufurahishi
Baada ya kufuatilia vyanzo mbalimbali kuna habari kuwa Iran imeshambulia Base moja ya Wamarekani ndani ya Syria lakini hakuna Mtu aliyekufa.Hizi ni taarifa zinazotolewa kutoka vyanzo mbalimbali katika misikiti ya Ijumaa hivyo zisitiliwe maanani maanake ni porojo tu za redio mbao.
Mwenyewe sijaiona,Ila tuipe muda badala ya kui-dissHapana,nimeangalia kwenye Vyombo vya Habari kadhaa sijaiona hiyo habari.
Hali ya base ikoje!?..Kama taarifa wametoa wamarekani kwamba hakuna aliyekufa,usiaminiBaada ya kufuatilia vyanzo mbalimbali kuna habari kuwa Iran imeshambulia Base moja ya Wamarekani ndani ya Syria lakini hakuna Mtu aliyekufa.
Hii source yangu huwa naiamini sana,mimi sio Mtu wa kukurupuka na kuvutia upande mmoja huwa napenda kuongea Facts na Common sense.Hali ya base ikoje!?..Kama taarifa wametoa wamarekani kwamba hakuna aliyekufa,usiamini
Sawa,mi nimesema Kama waliosema hakuna mfu baada ya shambulio ni marekani, usiaminiHii source yangu huwa naiamini sana,mimi sio Mtu wa kukurupuka na kuvutia upande mmoja huwa napenda kuongea Facts na Common sense.
Nilikuwa naiangalia hiyo Base haijasambaratishwa kama ile ya Iraq na kwasababu Ayatolah hajaambulia mnofu hata mmoja Marekani wameona wasikuze mambo kwasasa.Sawa,mi nimesema Kama waliosema hakuna mfu baada ya shambulio ni marekani, usiamini
Hiyo siyo ya mwishoNilikuwa naiangalia hiyo Base haijasambaratishwa kama ile ya Iraq na kwasababu Ayatolah hajaambulia mnofu hata mmoja Marekani wameona wasikuze mambo kwasasa.
Ayatolah ni hatari hata kwa Waisilamu wa Madhehebu ya Sunni kwa mfano huko Yemen ameiondoa Serikali halali ya Sunni katika Mji Mkuu wa Sanaa.Hiyo siyo ya mwisho