inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Yemen Ina mgawanyo karibu sawa kimadhehebu,na Iran Ina bifu na saudiaAyatolah ni hatari hata kwa Waisilamu wa Madhehebu ya Sunni kwa mfano huko Yemen ameiondoa Serikali halali ya Sunni katika Mji Mkuu wa Sanaa.
Kwanini Iran isiende Direct Saudia inawatesa hao Maskini wa Yemen.Yemen Ina mgawanyo karibu sawa kimadhehebu,na Iran Ina bifu na saudia
Hapana,nimeangalia kwenye Vyombo vya Habari kadhaa sijaiona hiyo habari.
Kupigania base/makoloniKwanini Iran isiende Direct Saudia inawatesa hao Maskini wa Yemen.
In reality ni kutangaza Ushia.Kupigania base/makoloni
Hii ni Fake News Tweet hebu lete sources nyingine.
Kama una Basha huko jua kabisa wewe ni mjane na waweza kuja kwangu nikurithiHii Story itakuwa ni Fake News.
Pale shoga mwenzao linavyowateteaHizi ni taarifa zinazotolewa kutoka vyanzo mbalimbali katika misikiti ya Ijumaa hivyo zisitiliwe maanani maanake ni porojo tu za redio mbao.
Kwahiyo hii ndio habari ya uhakika, ila ya green rajab ni fake news?Baada ya kufuatilia vyanzo mbalimbali kuna habari kuwa Iran imeshambulia Base moja ya Wamarekani ndani ya Syria lakini hakuna Mtu aliyekufa.
No,buffer zone,hasa kwa Iran,maana ana adui USA na kidosho wake Israel,so akiwa na ushawishi kwa nchi nyingi zinazomzinguka,inakua poa,si unaona houthi wanachofanya huko bahariniIn reality ni kutangaza Ushia.
Hivi wadau hizi trophy messages na nyinyi mnapata au Mimi tu!?..zinaniboaKwahiyo hii ndio habari ya uhakika, ila ya green rajab ni fake news?
MAyatolah walimuondoa Shah wa Iran kwa Mapinduzi na wao wajue tu iko siku wataondoshwa kwa Mapinduzi.No,buffer zone,hasa kwa Iran,maana ana adui USA na kidosho wake Israel,so akiwa na ushawishi kwa nchi nyingi zinazomzinguka,inakua poa,si unaona houthi wanachofanya huko baharini
Soma hiyo tweet mwenyewe wameiflag sasa tubishanie nini?Kwahiyo hii ndio habari ya uhakika, ila ya green rajab ni fake news?
Middle east inazidi kuchangamka, kule US ELECTION, HUKU RUSSIA ELECTION, HUKO UKRO ELECTION POSTPONED, HAPA ISRAEL ELECTION POSTPONED.Habari zilizotufikia hivi punde meli ya Kijeshi ya Marekani ya USS Libert imepigwa na makombora ya Iran nakulipuliwa huko Ghuba ya uajemeni na wanajeshi 30 wanahofiwa kufa
BREAKING: It's reported that American Navy intelligence vessel 'USS Liberty' has just been hit with a barrage of Iranian missiles off the coast of Bahrain in the Persian Gulf.
Over 30 American salilors are feared dead
........hii ni April....
View attachment 2951919