Wanajeshi 320 wa Sudan wakimbilia Chad wakitoroka mapigano nchini mwao

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Takriban wanajeshi 320 wa Sudan walitoroka mapigano yanayoendelea nchini Mwao hadi nchi jirani ya Chad, waziri wa ulinzi wa Chad alisema Jumatano.

Waziri wa ulinzi Jenerali Daoud Yaya Brahim aliuambia mkutano wa waandishi wa habari kwamba “Waliwasili kwenye ardhi yetu, walipokonywa silaha na kuwekwa kizuizini siku ya Jumapili.”

Alisema wanajeshi wao wamehofia kuuawa na wanamgambo wa kikosi cha Rapid Support Forces ( RSF) kinachopambana na wanajeshi wa mkuu wa jeshi na kiongozi wa Baraza kuu la Sudan Jenerali Abdel Fattaf al-Burhan.

Waziri huyo amesema “Hali nchini Sudan inatia wasiwasi na inasikitisha, tumechukua hatua zote zinazohitajika ili kukabiliana na mzozo huu.”

Ameongeza hata hivyo kwamba “vita hivi havituhusu, ni vita kati ya Wasudan, na lazima tuwe waangalifu dhidi ya matukio yote.”

Amejizuia kutoa maelezo zaidi, katika siku ya tano ya mapigano mjini Khartoum na kwingineko nchini Sudan, ambayo yamesababisha vifo vya raia wasiopungua 270, kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na balozi za kigeni Jumatano.

Jumamosi, Chad ilifunga mipaka yake na Sudan, yenye urefu wa zaidi ya kilomita 1,000 katika jangwa, ambayo mara nyingi huvukwa na makundi ya waasi kutoka nchi zote mbili.

________________

Some 320 Sudan troops flee fighting to Chad

Around 320 Sudanese soldiers have fled the fighting raging in their country to neighboring Chad, the country’s defense minister said Wednesday.

“They arrived in our territory, were disarmed and detained” on Sunday, General Daoud Yaya Brahim told a press conference, saying the troops feared being killed by the paramilitary Rapid Support Forces (RSF) battling those of army chief Abdel Fattah Al-Burhan.

“The situation in Sudan is worrying and deplorable, we have taken all the necessary measures in the face of this crisis,” the minister said.

He added, however, that “this war does not concern us, it’s between the Sudanese, and we must remain vigilant against all eventualities.”

He declined to give further details, on the fifth day of combat in Khartoum and elsewhere in Sudan, which has resulted in the deaths of at least 270 civilians, foreign embassies said Wednesday.

Chad had closed Saturday its border crossings with Sudan, stretching for more than 1,000 kilometers (620 miles) across open desert, which are often crossed by rebel groups from both countries.

Thousands of people have fled the shooting and bombings in Khartoum since fighting erupted between two generals who seized power in a 2021 coup: Al-Burhan and his deputy, Mohamed Hamdan Daglo, who commands the RSF.

It followed a bitter dispute between the two generals over the planned integration of the RSF into the regular army — a key condition for a final deal aimed at restoring Sudan’s democratic transition.

Source: Arabnews
 
Kiongozi wa RSF ni kutoka Chad kwa hiyo wala hatushangai kama wamewaweka kizuizini wajeda wa Sudan

Wanasema haiwahusu ila wamo pia
Africa njaa haitaisha na sasa ndio mda wa kuwauzia chakula

Kuna watu huwa nawakubali (wasomali) watoto wa baba
Yaani saa hizi malori yanaomba tenda ya kupeleka chakula huko kutoka UN
 
Wacha wachinjane. Waliwauwa sana Black Sudanese hapo licha ya kuwa ndugu katika imani.
kabisa pia Afrika ya kati imeangamizwa na Chad na Sudan ndio walifadhili seleka ikapelekea vita isiyoisha mpk leo
 
Wacha wachinjane. Waliwauwa sana Black Sudanese hapo licha ya kuwa ndugu katika imani.
Propaganda hizi probably Chad wanawaunga mkono RSF
Hawa ubaguzi tamaa za madaraka zitawatafuna sana yote kwa yote wasichukue nchi RSF
RSF na Jenerali Hemdit wana damu za maelfu ya raia wa Darfur kwenye mikono yao Ila hata jeshi la Sudan sio wema pia.......acha wauane tu Ila kama RSF watashindwa itakuwa heri, japo raia wa kawaida watateseka na nchi kuyumba.

T14 Armata
 
Takriban wanajeshi 320 wa Sudan walitoroka mapigano yanayoendelea nchini Mwao hadi nchi jirani ya Chad, waziri wa ulinzi wa Chad alisema Jumatano.

Waziri wa ulinzi Jenerali Daoud Yaya Brahim aliuambia mkutano wa waandishi wa habari kwamba “Waliwasili kwenye ardhi yetu, walipokonywa silaha na kuwekwa kizuizini siku ya Jumapili.”

Alisema wanajeshi wao wamehofia kuuawa na wanamgambo wa kikosi cha Rapid Support Forces ( RSF) kinachopambana na wanajeshi wa mkuu wa jeshi na kiongozi wa Baraza kuu la Sudan Jenerali Abdel Fattaf al-Burhan.

Waziri huyo amesema “Hali nchini Sudan inatia wasiwasi na inasikitisha, tumechukua hatua zote zinazohitajika ili kukabiliana na mzozo huu.”

Ameongeza hata hivyo kwamba “vita hivi havituhusu, ni vita kati ya Wasudan, na lazima tuwe waangalifu dhidi ya matukio yote.”

Amejizuia kutoa maelezo zaidi, katika siku ya tano ya mapigano mjini Khartoum na kwingineko nchini Sudan, ambayo yamesababisha vifo vya raia wasiopungua 270, kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na balozi za kigeni Jumatano.

Jumamosi, Chad ilifunga mipaka yake na Sudan, yenye urefu wa zaidi ya kilomita 1,000 katika jangwa, ambayo mara nyingi huvukwa na makundi ya waasi kutoka nchi zote mbili.

________________

Some 320 Sudan troops flee fighting to Chad

Around 320 Sudanese soldiers have fled the fighting raging in their country to neighboring Chad, the country’s defense minister said Wednesday.

“They arrived in our territory, were disarmed and detained” on Sunday, General Daoud Yaya Brahim told a press conference, saying the troops feared being killed by the paramilitary Rapid Support Forces (RSF) battling those of army chief Abdel Fattah Al-Burhan.

“The situation in Sudan is worrying and deplorable, we have taken all the necessary measures in the face of this crisis,” the minister said.

He added, however, that “this war does not concern us, it’s between the Sudanese, and we must remain vigilant against all eventualities.”

He declined to give further details, on the fifth day of combat in Khartoum and elsewhere in Sudan, which has resulted in the deaths of at least 270 civilians, foreign embassies said Wednesday.

Chad had closed Saturday its border crossings with Sudan, stretching for more than 1,000 kilometers (620 miles) across open desert, which are often crossed by rebel groups from both countries.

Thousands of people have fled the shooting and bombings in Khartoum since fighting erupted between two generals who seized power in a 2021 coup: Al-Burhan and his deputy, Mohamed Hamdan Daglo, who commands the RSF.

It followed a bitter dispute between the two generals over the planned integration of the RSF into the regular army — a key condition for a final deal aimed at restoring Sudan’s democratic transition.

Source: Arabnews
RSF ni kikundi cha kigaidi, ni wale janjaweed ambao siku wakikorofishana na USA basi watakuwa categorized kama magaidi.
 
Back
Top Bottom