Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubaya wa nchi za Afrika Kaskazini zinaingiliana masuala binafsi. Karibia majirani wote waliwahi pigana au wana mgogoro.RSF na Jenerali Hemdit wana damu za maelfu ya raia wa Darfur kwenye mikono yao Ila hata jeshi la Sudan sio wema pia.......acha wauane tu Ila kama RSF watashindwa itakuwa heri, japo raia wa kawaida watateseka na nchi kuyumba.
T14 Armata
Hao wanamgambo wemepewa mafunzo na Wagner group kutoka Russia,na vile vile walipewa mafunzo na jeshi la sudani wakati wa mapigano ya darfulMwanajeshi anakimbia vita?
Wapigane we waharibu nchi then waanze kukopa mamikopo ya ajabu kujenga nchiIla waafrika tunatia aibu sana
Wacha watuangane kwanza halafu ndipo baadaye wataheshimiana.Mjeda vs Rapid support force,wote uwanja wa nyumban,mmh kweli fimeumana bhaghwitu!
Ahaaa. kumbe ndo maana jeshini wanafundishwa na kufanya mazoezi ya kukimbia siyo? 🏃♂️ 🏃♂️ 🏃♂️Ndio.....Vita haina mwenyewe ukizidiwa unakimbia tu, roho haina 'spare'.
Sudan Kaskazini yenye Waarabu wanaofanana na walioko Buhigwe
Khee! Wagner group(PMC) baadaye watawapeleka hao wanafunzi -wanamgambo mafunzo kwa vitendo (Field practicals) huko Ukraine ndipo watajua kwamba Ukraine sio jangwani.Hao wanamgambo wemepewa mafunzo na Wagner group kutoka Russia,na vile vile walipewa mafunzo na jeshi la sudani wakati wa mapigano ya darful
Hao ni Sungusungu waliokomaa sana na kupewa tuzo la kuitwa jina la Wanajeshi. Kazi yao kubwa ni kukimbiza au kufukuzana na wezi/vibaka mtaani na sio eti washike AK 47 kukabiliana kujibu mapigo. 😀 😀 😀Nimejikuta nacheka badala ya kusikitika. Wanajeshi gani hao wanaowakumbia mgambo? Wanajeshi walioapa kufa kwa kuitetea nchi yao wanatoroka kuwakimbia mgambo!
Vv