Wanajeshi 88 Washindwa Kumaliza Kozi TMA

Unakuta Kamanda ameshakuwa na Kitambi chake cha Bia karidhika na Cheo chake,leo umtoe Ngara huko au Mtwara Kituo chake cha Kazi umpeleke Monduli Arusha kwenye baridi uanze kumkimbizakimbiza mchakamchaka ni kutaka kufukua tu maradhi yake kama gauti,kifua nk,lazima asepe zake maana hana cha kupoteza zaidi ya kukosa hiko Cheo tu
😂😂😂Jeshiii
Koh Koh
Kondeboy🤣
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Pagumu Ila wagekomaa, waanze kupanda mavyeo tu, na kula matamu ya nchi.
 
Unakuta Kamanda ameshakuwa na Kitambi chake cha Bia karidhika na Cheo chake,leo umtoe Ngara huko au Mtwara Kituo chake cha Kazi umpeleke Monduli Arusha kwenye baridi uanze kumkimbizakimbiza mchakamchaka ni kutaka kufukua tu maradhi yake kama gauti,kifua nk,lazima asepe zake maana hana cha kupoteza zaidi ya kukosa hiko Cheo tu
Ahahaaaaa
 
Back
Top Bottom