Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
😁Mungu wa majeshiMungu wa jeshini ?!
😂😂😂JeshiiiUnakuta Kamanda ameshakuwa na Kitambi chake cha Bia karidhika na Cheo chake,leo umtoe Ngara huko au Mtwara Kituo chake cha Kazi umpeleke Monduli Arusha kwenye baridi uanze kumkimbizakimbiza mchakamchaka ni kutaka kufukua tu maradhi yake kama gauti,kifua nk,lazima asepe zake maana hana cha kupoteza zaidi ya kukosa hiko Cheo tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unakuta Kamanda ameshakuwa na Kitambi chake cha Bia karidhika na Cheo chake,leo umtoe Ngara huko au Mtwara Kituo chake cha Kazi umpeleke Monduli Arusha kwenye baridi uanze kumkimbizakimbiza mchakamchaka ni kutaka kufukua tu maradhi yake kama gauti,kifua nk,lazima asepe zake maana hana cha kupoteza zaidi ya kukosa hiko Cheo tu
AhahaaaaaUnakuta Kamanda ameshakuwa na Kitambi chake cha Bia karidhika na Cheo chake,leo umtoe Ngara huko au Mtwara Kituo chake cha Kazi umpeleke Monduli Arusha kwenye baridi uanze kumkimbizakimbiza mchakamchaka ni kutaka kufukua tu maradhi yake kama gauti,kifua nk,lazima asepe zake maana hana cha kupoteza zaidi ya kukosa hiko Cheo tu