Wanajeshi IDF wafichua Oktoba 7 ilikuwa mpango wa ndani

Labda iwe walijua kisha wakaacha litokee wapate sababu ya kufanya wanayofanya sasa. Lakini pamoja na hayo faida itakua kwa wapalestina sababu hili limewasogeza karibu na uhuru wao
Israel hakutaraji mambo yangekua hivi,kwanza wametolewa jasho na Hamas,pili dunia inataka palestina wapate taifa lao
 
Sina MB,ningeangalia hiyo video
Video yenyewe ni ya michongo!! Una uhakika gani huyo ni askari wa iDF?

Kwa sheria za kijeshi huwezi kutoa taarifa kama hiyo maana kuna msemaji wa Jeshi!!

Hicho kinachoendelea ni TAQIYYA yaani uongo kwa ajili ya mnyazimungu wao!!! Wajinga tu wanaweza kuamini UHARO huu
 
Ni set up, israel aliujua mpango kupitia misri(waliwatonya), israel wakaona ni opportunity ya ethnic cleansing
Wewe unajua maana ya ethnic cleansing? Au unaimba tu Wafuga Midevu na Majini?
 
Sababu zote hazina msingi kabisa!!
 
Hawa watu lazima wanafikiri kutumia Makalio!!
 
Sasa kama ni hivyo mbona ni aibu kwa Hamas kuwasaliti wenzao wanapata shida mpaka sasa. Wale viongozi wa Hamas waliokuwa wanauliwa nao walikua kwenye huo mpango wa IDF?
Swali zuri sana nasubiria majibu yake!!!
 
Wewe unajua maana ya ethnic cleansing? Au unaimba tu Wafuga Midevu na Majini?
Kinaendelea nini Gaza sasa hivi!?..hata Trump kasema huwezi fake njaa ya Gaza,watu wafa kwa njaa, hospital zinabomolewa..maana yake mfe kwa mabomu, risasi,njaa,maradhi...kivipi siyo ethnic cleansing?..tangu lini umeanza kumiliki akili!?
 
Kinaendelea nini Gaza sasa hivi!?..hata Trump kasema huwezi fake njaa ya Gaza,watu wafa kwa njaa, hospital zinabomolewa..maana yake mfe kwa mabomu, risasi,njaa,maradhi...kivipi siyo ethnic cleansing?..tangu lini umeanza kumiliki akili!?
Kwa hiyo kubomoa majengo ni ethnic cleansing? Kwa akili hizo endelea tu kuimba nyimbo za Wafuga Midevu na Majini!!
 
We fala nini!?.. wanajeshi wangapi wameongea mambo ya vitani nje ya utaratibu!?.. halafu mbona umeumia sana!?
 

Attachments

  • 2025_08_01_15_17_45.mp4
    6.7 MB
We fala nini!?.. wanajeshi wangapi wameongea mambo ya vitani nje ya utaratibu!?.. halafu mbona umeumia sana!?
Acha ujinga nimekuuliza swali umejuaje huyo ni askari wa IDF?

Swali la Pili umeongelea kuwa askari wangapi wanaongelea mambo ya Jeshi bila utaratibu sasa wewe unataka sisi tukubaliane na maneno ya kijiweni?? Acha ujinga hapa siyo wote Mazuzu kama wewe!!
 
Nimeandika kubomoa majengo tu hapo!?.. kichwani una ubongo au haja kubwa!?
Jibu sasa Swali langu la msingi nini maana ya ethnic cleansing?? Nina uhakika hujui unafuata mumbo tu waarabu wakisema hivi nawe unazuzuka na kuimba kama kasuku!!
 
Hapo anapoongea huyo askari ni kijiweni?.. halafu mbona umeumia sana?!
 
Hapo anapoongea huyo askari ni kijiweni?.. halafu mbona umeumia sana?!
Unajua watu wajinga kama wewe ndiyo mnaliharibu Jukwaa hili kwa kuleta habari vijiweni hata unapoulizwa hapa unashindwa kujibu sababu habari yenyewe ni ya kupika hakuna ukweli wowote.!!

Hapo juu umeulizwa kama ulikuwa ni mpango hao viongozi wote wa Hamad waliouwawa nao mpango huo walikuwa wanaujua? Na walishiriki kwenye mpango huo? Hapo umeshindwa kujibu kwa sababu huna majibu!!
 
Imepikwa na nani hiyo video?
 
HAMAS iliundwa na Israel enzi zile wanapambana kumdoofisha YASIR ARAFAT na Chama chake cha FATAH. Kam tu walivyounda ISIS ambaye imezisumbua nchi karibu zote za Kiaarabu lakini kamwe hawajawahi hata kurusha jiwe ndani ya Israel na kamwe hawatarusha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…