Wanajeshi wa KDF waendelea na zoezi la kunyunyiza dawa mitaa ya Nairobi

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kenya Defence Forces (KDF) has continued with its disinfection exercise within Nairobi city, the county that has reported the highest cases of COVID-19 in the country.

The exercise was aimed at sanitising public places as part of the measures to curb the spread of coronavirus pandemic as slums were classified as high risk places.

In a statement on its social media pages on Wednesday, April 15, the disciplined forces urged Kibra residents to observe basic hygiene practices announced by the Ministry of Health to avoid infection of the disease.

"The exercise was led by Major Solomon Nchoko who urged the residents of Kibra to observe every measure that has been set by the government towards eradication of the virus. South C, Mukuru kwa Njenga and Embakasi village were among the first beneficiaries of the disinfection. The exercise is a continuous one and will be repeated after a week, a period within which the disinfectant is effective on bacteria and viruses," KDF said.

Kenya's COVID-19 cases rose to 225 after Health CS Mutahi Kagwe announced nine new cases on Wednesday, April 16. Of the 225 cases, Nairobi had 163, Mombasa (36), Kilifi (9) and Mandera (6).

Nakuru, Siaya and Kajiado had reported two cases each while Uasin Gishu, Kakamega and Kwale had each registered one case.

Globally, over 2.08 million cases of the pandemic had been recorded as of Thursday, April 16, morning. Out of the reported cases, at least 515,000 COVID-19 patients had recovered while 134,000 had succumbed from the virus.

COVID-19 had affected 210 countries and territories around the world and two international conveyances according to Worldometers, a real-time statistics website.

Read more: KDF disinfects Kibra streets to curb spread of COVID-19
 
IMG_20200418_184743.jpg
 
Naomba kama vipi wawe wananyunyiza hata kwenye madaladala, yaani Kenya inapambana sio mchezo.
 
March 2020
Operational capability of Tanzania Peoples' Defence Forces

Source: Ulinzi Channel
 
Nilifkiria hii ni video ya JWTZ wakiwa mitaani kwa shughuli za kupambana na Corona kama wanavyofanya KDF, ila naona ni hotuba hotuba tu.
 
Kwa Tanzania vikosi vya Zimamoto na Uokozi Fire Brigade ndiyo wanafanya kazi ya kupulizia na kunyunyiza dawa kupambana na coronavirus.

27 Mar 2020
Dar es Salaam, Tanzania

Gari ya kikosi cha zimamoto ikipuliza dawa kati mitaa mbalimbali ya Kariakoo ili kuuwa wadudu wanaoweza kueneza magonjwa mbalimbali pamoja na virusi vya corona vinavyosababisha ugonjwa wa homa ya mapafu (COVID-19)

March 27, 2020
Dar es Salaam, Tanzania

Vikosi vya Zimamoto na Uokozi zaongoza mapambano dhidi ya coronavirus

Source : EastAfricaRadio
 
Huku kuna timu tofauti tofauti, kunao hawa wa mjini, ila KDF wameingia mitaani kabisa...

Mbalizi, Mbeya
Tanzania

Wana usalama wapiga maombi makali dhidi ya gonjwa la corona

Arusha, Tanzania

Arusha Regional Police Commander ACP Jonathan Shana na maombi dhidi ya CORONA!

Hapa kuna kasoro kaka, pigeni maombi ila na kwa kuchukua tahadhari pia, hamna aliyevaa barakoa, hapo ndio Tanzania mnakosea kuanzia kwa uongozi mpaka kwa watu wa chini. Kwamba mnasahau hekima tumepewa na Mwenyezi Mungu tuitumie, kwamba kuchukua tahadhari ni mojawapo wa matumizi ya hekima tuliyopewa, hivyo usikae unaomba tu, la pia tumia hekima na busara uliyopewa, vaa barakoa na epuka kusongamana.

Hizi ndio mbinu wanatumia wenzetu hata makanisani na ndio zimewezesha Korea Kusini wakashinda vita dhidi ya Corona

images
 
April 22, 2020
Chato, Geita
Tanzania

RAIS MAGUFULI ANAZUNGUMZA NA VIONGOZI WA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA KUHUSU COVID-19

Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Joseph Magufuli amezungumza mbashara na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama kuhusu ugonjwa wa Corona alipokutana nao kijijini Chato mkoa wa Geita uliopo Kaskazini Magharibi mwa Tanzania leo saa 9:45 alasiri tarehe 22/04/2020.

“Tuwaondoe hofu wananchi, sio ugonjwa huu pekee unaosababisha vifo kwa wananchi" - amesisitiza Rais Magufuli

Mhe. Rais Magufuli amesema Serikali haitawafungia wananchi majumbani (lockdown) wala kulifunga Jiji la Dar es Salaam ili kuepusha madhara makubwa yanayoweza kuwakumba wananchi na kuathiri uchumi wa nchi, na ametaka Watanzania kuondoa hofu, kuendelea kuchukua tahadhari huku wakiendelea na shughuli zao za uzalishaji mali na ujenzi wa Taifa.

“Tuwaondoe hofu wananchi, sio ugonjwa huu pekee unaosababisha vifo kwa wananchi, na sio kila anayepoteza maisha hivi sasa basi amekufa kwa Corona, nimejulishwa takwimu za mpaka jana idadi ya walioambukizwa ni 284 na kati yao takribani 100 wamepona, tuwaambie wananchi kuhusu taarifa hizi badala ya kuwaacha wanajawa na hofu hali inayoleta madhara zaidi” amesema Mhe.

Rais ameshauri tuendelee kutumia njia za asili kama kujifukizia ili kupunguza corona.

Watanzania tuendelee kuchukua hatua za tahadhari, ugonjwa huu wa COVID-19 upo na ni hatari

Navipongeza vyombo vya ulinzi na usalama kwa kuchukua hatua mbalimbali za kuilinda nchi yetu hasa katika kipindi hiki cha mapambano dhidi ya COVID-19, nimekubaliana na hatua mnazoendelea kuzichukua katika kipindi hiki”-

Nawapongeza viongozi wa Dini na watanzania kwa ujumla kwa kuitikia wito wa kuliombea taifa kwa siku 3 dhidi ya ugonjwa wa COVID-19, nina amini Mungu wetu ni wahuruma atatusikiliza na siku moja tutalishinda hili gonjwa.

Nawashukuru kwa kuja kunipa 'briefing' za jinsi tunavyoendelea kupambana. Nimekubaliana na hatua mnazoendelea kuzichukua katika kipindi hiki - Napenda kushukuru Watanzania ambao kwa nyakati za maombi tulizotangaza kwa siku 3, wote walishiriki

Nawapongeza Madaktari, Manesi na Wahudumu wote wa sekta ya afya nchini ambao kila mmoja katika maeneo yao ya kazi wameendelea kutoa huduma kwa wagonjwa wa magonjwa mbalimbali na wagonjwa wa COVID-19.

endeleani na moyo huo wa uzalendo, mnafanya kazi ya Mungu ya kuwahudumia Watanzania, msivunjike moyo, Serikali ninayoiongoza ipo pamoja nanyi, ninatambua kazi kubwa mnayoifanya.

Natoa wito kwa watanzania kupuuza taarifa za upotoshaji zinazotolewa kupitia mitandao ya kijamii na watu kutoka nje ya Tanzania kuhusu ugonjwa wa COVID-19”

Tujaribu kutumia njia nyingine za asili kama kujifukiza. Kujifukiza ni scientific kwa kuwa mvuke wa maji, maji yanakuwa vapour yakiwa 100 degree centigrade ambazo zinatosha kumyeyusha hata #CoronaVirus

Wizara ya Afya waeleze namna gani kujifukiza kunakinga dhidi ya #COVID19. Njia za kutumia hata kuchanganya na muarobaini na vitunguu swaumu zitumike

Dar es Salaam ina wagonjwa wengi kwasababu ni ‘great city’ ambayo lazima iwe na wagonjwa wengi. Nimeteua Katibu Mkuu mpya ili takwimu za wagonjwa wanaopona ziwe zinatangazwa ili wananchi wawe na confidence

Lakini pia taarifa zetu ziendane na ukweli hasa katika watu wanaopona. Nina taarifa kwamba mpaka leo tulikuwa na wagonjwa 284, lakini naambiwa karibu 100 ya wagonjwa walishapona. Hizi takwimu za wagonjwa wanaopona nazo zitangazwe ili kuwaondolea hofu wananchi.

Hakuna haja ya kumuweka mtu Magufuli Hostel sijui siku 20, wakati unamuona kabisa hana tatizo - Kumuweka ‘isolation’ mtu ambaye ni mzima unapoteza resources zetu

Kila mwezi tunalipa Bilioni 700 kwa madeni ambayo karibu Bilioni 200 inaenda World Bank. Sasa kwasababu wao wameguswa na ugonjwa huu hasa World Bank watusamehe madeni hata kwa percentage ili hela zitumike kupambana na Corona

Tumesikia kwenye vyombo vya habari maeneo fulani, hata hizi mask zimetolewa kwenye nchi fulani wamezikuta na corona. Vyombo vya ulinzi na usalama waanze kushughulikia vitu vya msaada visije leta madhara. Ukiletewa mask lazima ujue imetoka wapi

Nawapongeza Watanzania walioanza kushona mask zao wenyewe. Shona mask zako zitumie. Usisubiri za kuletewa ambazo hata huwezi kujua aliyekuletea ana misingi gani

Rais Magufuli: Hii fumigation iliyokuwa inafanyika Dar ni upuuzi mtupu kwasababu kwa watalaamu wote wanajua #CoronaVirus hawezi kufa kwa Chlorine. Virus yule ni futa, linapasuka ama kwa kutumia sabuni au kwa kutumia alcohol au joto kubwa, maji moto au mvuke

Hakuna fumigation yoyote inayoweza kuua #Corona na hili Watanzania lazima tuambizane ukweli. Kama pangekuwa panafanyika fumigation na #CoronaVirus wanakufa, basi nchi zilizoendelea zisingeshindwa kutengeneza fumigation na kumwagia nchi yote

Kumekuwa na papara kutoka kwa watu wetu wenyewe. Wizara ya Afya nimeambiwa siku za nyuma walitoa amri ya kufanya fumigation. Mabasi yanatoka wapi yanafanyiwa fumigation yaende wapi yanafanyiwa fumigation. Nililiona hili sana Dar na Mwanza

Nimewaita ninyi vyombo vya Ulinzi na Usalama mfanye uchunguzi hata kwenye hizo fumigation, nani alitoa maagizo?. Lakini pia uchunguzi mfanye katika 'testing kits' na hizo barakoa zinazotoka nje. Jiridhisheni kama ni salama kwa Watanzania

Source : Channel Ten
 
Dah hapo fumigation za Makonda zimetupwa nje.
Nakubaliana na hilo la kujifukizia.
Halafu ni vyema sasa mumeanza kuhamasisha tahadhari na kukubali Corona ni hatari sio kaugonjwa.
 
April 19, 2020
Dar es Salaam, Tanzania

CORONA: ONA SANITIZER ya MWILI Mzima INAVYOFANYA Kazi
msaada wa mashine maalumu mbili za kutakasa mwili na mvuke wenye dawa ili kupambana na maambukizi dhidi ya CORONA.

Source : Global TV online
 
Back
Top Bottom