Askari wa nato wapo Ukraine kitambo tuKama ni kweli basa Ukraine nayo isaidiwe na Askari wa NATO.
Ushahidi tafadhali.Askari wa nato wapo Ukraine kitambo tu
Nenda upande wa Hezbollah ukawasaidie ndugu zetu katika Imaan. TakibiiiiirNifuate hatua zipi ili na Mimi nikajiunge na jeshi la urusi ili kuwatandika hawa NATO?Natamani kupigana vita na niwe nawatumia picha zangu humu jamii forum namna ninavyowachakaza askari wa NATO.
Ushahidi tafadhali.
Kama alivyozidiwa Israel tu.Naona Putin amezidiwa huko
Unaota Tanzania ina askari Lebanon chini ya umoja wa mataifa siku nyingi tu wako hukoSisi majeshi yetu tunapeleka DRC miaka yote. Bora tungepeleka askali laki moja wakapate uzoefu wa silaha za kisasa. Vita ni opportunity nzuri kujifunza mbinu mbali mbali za kivita, hata namna ya kuongoza vikosi vitani, supply chain na mengine mengi.
Tusikae tukidhani kukaa kimya ndio kuwa na amani, tutumie migogoro ya wenzetu kujifunza na kupata uzoefu. Hakuna experience nzuri jeshini kama kwenda vitani nakurudi.
Tanzania ipeleke hata Ukraine, Gaza, na Beirut.
Tuna anskari wanavyeo vikuubwa tangu wanaingia jeshini hadi wanastaafu hawajawahi kufanya kazi za kijeshi.