Wanajeshi wa Rwanda wanapukutika kama kumbikumbi Congo.

Annunaki

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2021
Posts
2,042
Reaction score
3,674
Pamoja na kwamba Rwanda inaedelea kutoa sapoti kwa M23 nchini DRC, inakadriwa hadi sasa Rwanda imepoteza zaidi ya wanajeshi 2000 katika mapigano yanayoendelea.

Rwanda imekuwa ikifanya siri na kupiga marufuku wananchi wa Rwanda kuchapisha taarifa za vifo vya wanajeshi wake mitandaoni.

The Guardian inaripoti kwamba picha zilizopigwa na satellite 🛰 zinaonyesha makaburi mengi yanayohisiwa ni ya wanajeshi wa Rwanda wanaofariki vitani Congo.

Ni vilio, majonzi na misiba kwa wazazi na ndugu wa wanajeshi hao wanaofia vitani, huku serikali ya Kigali ikiwapiga marufuku familia zinazopoteza vijana wao vitani kuongelea habari hizo.

Picha za makaburi ya wanajeshi wa Rwanda zimeambatanishwa.
 
Attachments

  • 20250207_194052.jpg
    20250207_194052.jpg
    28.8 KB · Views: 4
Rwanda imekuwa ikifanya siri na kupiga marufuku wananchi wa Rwanda kuchapisha taarifa za vifo vya wanajeshi wake mitandaoni.
Hizi ni propaganda za uongo......Kwani Wanajeshi wanafia Cpngo au Wanafia Rwanda?

Kama wanafia Congo nani anaficha? Kwanini wanaorepoti vifo vya wa SADC wasiripoti vya rwanda na m23?
 
KAGAME ni muuaji na dikteta
Pamoja na kwamba Rwanda inaedelea kutoa sapoti kwa M23 nchini DRC, inakadriwa hadi sasa Rwanda imepoteza zaidi ya wanajeshi 2000 katika mapigano yanayoendelea.

Rwanda imekuwa ikifanya siri na kupiga marufuku wananchi wa Rwanda kuchapisha taarifa za vifo vya wanajeshi wake mitandaoni.

The Guardian inaripoti kwamba picha zilizopigwa na satellite 🛰 zinaonyesha makaburi mengi yanayohisiwa ni ya wanajeshi wa Rwanda wanaofariki vitani Congo.

Ni vilio, majonzi na misiba kwa wazazi na ndugu wa wanajeshi hao wanaofia vitani, huku serikali ya Kigali ikiwapiga marufuku familia zinazopoteza vijana wao vitani kuongelea habari hizo.

Picha za makaburi ya wanajeshi wa Rwanda zimeambatanishwa.
 
Hizi ni propaganda za uongo......Kwani Wanajeshi wanafia Cpngo au Wanafia Rwanda?

Kama wanafia Congo nani anaficha? Kwanini wanaorepoti vifo vya wa SADC wasiripoti vya rwanda na m23?
Ushahidi huo hapo, alafu unabisha , Rwanda inaficha taarifa.

Hamna propaganda, huu ndiyo ukweli, huwezi kupeleke wanajeshi maelfu kupigana vita, alafu eti visitokee vifo.
 
Hizi ni propaganda za uongo......Kwani Wanajeshi wanafia Cpngo au Wanafia Rwanda?

Kama wanafia Congo nani anaficha? Kwanini wanaorepoti vifo vya wa SADC wasiripoti vya rwanda na m23?
Kwa hiyo upande wa pili haufi?
 
Pamoja na kwamba Rwanda inaedelea kutoa sapoti kwa M23 nchini DRC, inakadriwa hadi sasa Rwanda imepoteza zaidi ya wanajeshi 2000 katika mapigano yanayoendelea.

Rwanda imekuwa ikifanya siri na kupiga marufuku wananchi wa Rwanda kuchapisha taarifa za vifo vya wanajeshi wake mitandaoni.
Wakamtandike na anayewatuma
 
kama wanafia kongo lazima picha zao zingepatikana na wakongo sio lazima wanyarwanda wazichapishe
 
Back
Top Bottom