Pamoja na kwamba Rwanda inaedelea kutoa sapoti kwa M23 nchini DRC, inakadriwa hadi sasa Rwanda imepoteza zaidi ya wanajeshi 2000 katika mapigano yanayoendelea.
Rwanda imekuwa ikifanya siri na kupiga marufuku wananchi wa Rwanda kuchapisha taarifa za vifo vya wanajeshi wake mitandaoni.
The Guardian inaripoti kwamba picha zilizopigwa na satellite 🛰 zinaonyesha makaburi mengi yanayohisiwa ni ya wanajeshi wa Rwanda wanaofariki vitani Congo.
Ni vilio, majonzi na misiba kwa wazazi na ndugu wa wanajeshi hao wanaofia vitani, huku serikali ya Kigali ikiwapiga marufuku familia zinazopoteza vijana wao vitani kuongelea habari hizo.
Picha za makaburi ya wanajeshi wa Rwanda zimeambatanishwa.