mwanga mweusi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 276
- 452
Watekwe na wauwawe haswa huku mtaani wanaojifanya miungu kupiga watu kalazimisha mambo kutembea na wake za watu kisa jeshi huko ndipo sehemu ya kujitambia sio mtaani uwanja wa fisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuombe Mungu hii habari isiwe ya kweli
CCM waliua Elimu yenu kwa makusudi ili muwe wajinga na wawatawale vizuriDuniani kwa lugha za kimataifa yaani zile tusizozielewa kama English, French, Arabic , Spanish kuna habari ambazo sisi huku Tanzania hatuzipati kwa maana kuzielewa hivyo kupitwa na mengi, tukisubiri kusimuliwa na wanasiasa kama mawaziri kwa nusu ya robo.
Vita ya uganda ya zamani ndio unajitambia leo kweny dunia ya sayansi na teknolojiaWewe zaidi ya kutype kwenye key board hujui kitu. Uliishawahi hata kupita, JKT? wakati wa vita ya Uganda ulikuwepo?
Kagame ujeuri wake utafika pomomi soonHii issue ni serious sana. Nilitegemea hivi sasa hatua dhidi ya Rwanda zingekuwa zimeshaanza kuchukuliwa maana ushahidi upo wazi kuwa wanajeshi wa Rwanda zaidi ya 4000 walivuka mpaka kuingia Goma na kuiteka. So it's obvious Wanajeshi wetu waliouliwa waliuliwa na Wanajeshi wa Rwanda na Hawa waliotekwa wametekwa na Jeshi la Rwanda kwa mgongo huu wa M23.
Kwa sasa hakuna Vetting bali kuna rasha rasha. Back then …. vetting zilikuwa ni very tough process and scary !Hii aibu tumejitakia wenyewe, it's about time mfumo wa recruitment ubadilike. Hii kuingiza watu jeshini kwa vimemo, kuokota vijana kutoka UVCCM wasio na sifa na kuwageuza wajeda kuwa chawa ndiyo products hizo zinazodhihirisha udhaifu wa jeshi letu. Yaani hata TISS huwa wanazoa kutoka UVCCM not like the way it used to be back in the day ambapo vetting and scrutiny was thorough.
Tujitathmini.
Uchawa ulianza kipindi cha JPM, back then tulikuwa na vijana smart snaa . Vijana ambao ilikuwa akisimama anahojiwa…. Utamsikia ** Serikal ya Tanzania imekusudia kuboresha miundombinu**Umeandika upumbavu. Wewe sio Mtanzania.
Huu ndio mwisho wako wa kufikiriUkiingia kwenye 18 zao,wakati wanakubinya pumbu uwaambie ulikozitoa hizi taarifa,utaona wanaharakati uchwara free free
Wataalamu kijeshi, utambuzi (intelejensia) ya kijeshi na intelejensia ya kiraia wanasema mkusanyiko huo wote wa mikakati, silaha, utaalamu, matayarisho mazito ya upande wa serikali ya Tshisekedi jirani na mpaka wa Rwanda
Usijidanganye Kagame anaongoza nchi ndogo ila Tz hamna jeshi la kumpiga, ana Long range missiles anao uwezo wa kurusha kombora kutoka Kigali hadi Dar na likaenda kupiga target effectively, muulize Kikwete alipojaribu kutaka vita na Kagame baada ya uchunguzi kitu gani kilimrudisha nyuma akaamua kutumia busara na kumalizia hasira kwa kuwafukuza wa Rwanda TzKagame ukiendekeza mazungumzo na yeye ndo anakupanda kichwani. Huyu dawa yake ni kumfanyia mafia tu na baadae kumpotezq kabisa.
Mbona walienda na silaha kama hawajaenda kwaajili ya vita? Acha propaganda cheapHujui ulisemalo.Jeshi letu halijaenda pale kupigana vita bali kulinda Amani.So waliwanyangany'a silaha wakiwa so innocent.