BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
KENYA: Baadhi ya Wanawake wanaoishi karibu na Kambi ya Mafunzo ya Kijeshi inayoongozwa na Jeshi ls Uingereza ya BATUK wamelalamikia kutelekezwa na Wanajeshi wanaotuhumiwa kuwabaka na kuwaachia Watoto bila msaada wowote
Kwa mujibu wa ripoti ya CNN, mamia ya Wanawake wameandika malalamiko hayo kwenda Serikali ya Uingereza na Jeshi la nchi hiyo wakitaka kujua hatma juu ya Haki zao tangu mwaka 2011
Pia, imeelezwa kuwa tayari Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Uhusiano wa Mambo ya Nje inaendelea na uchunguzi kuhusu tuhuma zilizotolewa na Wananchi juu ya Kambi hiyo na itaanza kuwasikiliza Maafisa wake mwisho wa mwezi Juni 2024
Aidha, ripoti inaonesha Serikali ya Uingereza inailipa Kenya takriban Tsh. Bilioni 1 kila mwaka kwaajili ya kibali cha kuruhusu Wanajeshi wake kuweka kambi kufanya mazoeazi nchini humo.
=======÷
Pia Soma: