Watu wote tuliona kilichokuwa kinaendelea msafara mnao uzungumzia ulikuwa na magari ya kawaida ya jeshi, tanker za kubeba mafuta, pantsir ADS, magari ya deraya na baadhi ya vifaru na havikuwa vingi kivile - nilicho kiona mimi ni kushambuliwa kifaru kimoja kimoja kwa kushtukiza na vigine viliendelea na safari kama kawaida lakini mashambulizi barabarani yalikuwa machache sana tuliona vizuri kwenye luninga hakuna popote tulipo ona vifaru kama kumi au ishirini vikiwa ambushed na kutiwa kibereti mashambulizi yalikuwa ni moja moja tu na sio makubwa kivile au media za magharibi walivyo kuwa wanaweka chumvi nyingi kuhusu mashambulizi yenyewe hakuna popote ambapo Putin au majenerali wake walipo sema kwamba msafara huo ilikuwa unaelekea Kiev - hakuna, hizoni adithi zinazo tungwa na wapambe wa Biden na waumini wake - ukweli wa mambo ni kwamba msafara ulikuwa unaelekea Beralus sio Kiev - jeshi la Urusi lilitumia msafara huo kama decoy ya kulifanya jeshi la Ukraine na NATO wapanic na kuhamisha maje shi yake fasta kutoka kusini mashariki mwa Ukraine na kuyaleta Kiev kuongeza ulizi - na hilo ndilo lilikuwa lengo la Putin ie kupunguza nguvu za jeshi la Ukraine/NATO kudini mashariki ili mwisho wa siku wanamgambo wa jeshi la Majimbo ya kusini mashariki wanao shirikiana na jeshi la Urusi iwe rahisi kwao kupambana za Zelenky na mamluki - mbinu hizo ziliwasaidia sana wanamgambo wa majimbo yanayo unga mkono kuungana na Urusi.
Magari mengi ya raia na kijeshi ambayo uonyeshwa na media za Ukraine kwamba ni vilipigwa na jeshi la Ukraine habari hizo zinatiwa chumvi mno uharibifu hakuwa wa kiwango hicho picha nyingi walizokuwa wanaonyesha ni fake nyingi zilipigwa kwenye miaka vita ya 2014/15 na ukiangalia kwa umakini nyingi zimeshikwa kitu, walivyo wa ajabu kuna picha nyingine walionyesha vifaru vya Urusi vilivyo pigwa na jeshi Ukraine wakati huo kilikuwa ni kipindi cha majira ya summer lakini kwenye background inaonekana snow imetanda which means picha yenyewe ilikuwa fake - hata kifaru vhenyewe kilikuwa kimeshikwa kutu ya miaka sio miezi - wasanii kweli kweli jamaa hawa.