Wanajeshi wakipongezwa Kuwalinda Raia dhidi ya Askari/Police. Jeshi letu msikubali kutumika

Wanajeshi wakipongezwa Kuwalinda Raia dhidi ya Askari/Police. Jeshi letu msikubali kutumika

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Sehemu nyingi Duniani askari police huwa hawana akili. Askari Police wengi asilimia 80 huwa hawana tofauti sana na Mbwa.(Naamini wa Tanzania wapo tofauti) Wana Elimu ya kutosha na wameelimika.

Sasa ukija kwa hawa Police na hata Mbwa huwa wana akili. Huwezi mwambia Mbwa amuume bwana ake akafanya hivyo. Atagoma. Wananchi ni Waajiri wa Police. Kodi na Rasilimali zao ndo hutumika kuwalipa wao mishahara na posho. Wengi hawajui hili.

Huko Nepal MAMBO YAMETINDINGANYA.. Kama kawaida Police huwa wanatumwa tu kakamateni, kapigeni mabomu, katekeni, kamwandalieni kesi. Wengi sababu hawana uelewa hata mtu ambaye anawatetea wao wakiambiwa kamkamateni wanaenda tu kama Majini.

Sisi katika Ukoo wetu hatuna Mtu aliwahi kuwa Polisi. Baba yangu Sheikh.... Huwa anasema Polisi wengi huko Duniani ni Makafir. Kafir ni mtu anayemdhuru au mbagua binadamu mwenzie. Bila hofu anamtendea ubaya.

 
Acha dharau kima wewe...lala mlango wazi basi kama polisi hawana umuhimu uone wahuni watakavyokupiga mande.
 
Acha dharau kima wewe...lala mlango wazi basi kama polisi hawana umuhimu uone wahuni watakavyokupiga mande.

Komenti ya kijamaa kipolisi. Hakina hata akili ni Division 0 form four. Huwa hamna akili ninyi. Kama mbwa koko tu. Ndo maana mnalazwa kwenye vijumba kama mabanda ya kuku
 
No wonder uzi wako umekosa wachangiaji sababu umeandika makamasi tupu.
Na wewe ni nani? Au hujui maana ya kuchangia? Nyie ni vilaza sana na zeros zenu kichwani hamna kitu.
 
Asee dunia nzima ni ngumu sana raia wa kawaida kumpenda polisi
Polisi anazuia wauzaji wa madawa ya kulevya,
Polisi hupambana na wezi na wanyangan'ganyi awapende nani?
Polisi pia ndio huwalinda wezi wengi kule juu awapende nani?
Polisi pia huzuia akina mama wasibakwe awapende nani?
Polisi pia hupambana na wasiolipa Kodi,
Polisi huwapokea wote na kuwahifadhi Hadi wahaini awapende nani?
Polisi wa nchi hii niwakumbushe hakuna anayewapenda Kaeni kijanja!
 
Maneno nyuma ya keyboard yametosha ni muda wa vitendo sasa tukuone barabarani
 
Back
Top Bottom