Wanajeshi wakitizama wavuvi wanavyovuta ndege kwa kamba

Wanajeshi wakitizama wavuvi wanavyovuta ndege kwa kamba

Hahahaha, tena wanalindwa na mgambo, mkamata masufuria ya biriani.
 
😂😂😂😂😂😂nakwambia hata vita ikitimka ni raiya watapigana hawa jamaa wanajua kutishia watu tu....
 
Kuna mmoja kala vitasa mtaani jana Ali taka kuleta ubabe watu washa vurugwa
 
Kama tuna kambi ya wanamaji Mwanza, basi tuna tatizo kubwa mno katika mfumo wa uongozi wa nchi yetu. Kama majeshi ndiyo hivi adui si anaweza kuja na kutubokoa tu kama kuku bandani, aibu.

Mbwembwe nyingi kwenye maadhimisho ya Uhuru kumbe kwenye matukio live hamna kitu.
Hii aibu yetu.
 
Back
Top Bottom