Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) limethibitisha kuwa askari wake wanane wa wameua katika makabiliano na wapiganaji wa Hezbillah kusini mwa Lebanon
IDF inasema watatu walikuwa wa kitengo cha Egoz,
Awali ilitangaza katika taarifa kwamba Kapteni Eitan Yitzhak Oster, 22, aliuawa ndani ya Lebanon siku ya Jumatano.
Kijana huyo mwenye umri wa miaka 22 alikuwa katika kitengo cha Egoz, cha makomando maalumu wa vita vya ardhini, IDF inasema.
Awali IDF iliripoti kuwa "inapigana maeneo kadhaa" kusini mwa Lebanon.
"Jeshi la Wanahewa la Israeli, waliwatimua magaidi na kuharibu miundombinu ya kigaidi kwa mabomu yaliyoongozwa kwa usahihi na ushirikiano ya karibu."
Taarifa hiyo inaongeza "zaidi ya miundombinu 150 ya ugaidi" imeharibiwa na katika mashambulizi ya hivi majuzi.
Chanzo BBC