Wanajeshi wengine 25 wahukumiwa kifo kwa kukimbia Mapigano dhidi ya Waasi wa M23 DRC

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Wanajeshi 25 wamehukumiwa adhabu ya Kifo baada ya kukutwa na hatia ya kukimbia Mapigano kati ya Jeshi la nchi hiyo na Waasi wa Kundi la M23

Kwa mujibu wa Msemaji wa Jeshi, Wanajeshi hao pia wamekutwa na hatia ya Wizi kwenye maduka ya Wafanyabiashara kwenye maeneo ya karibu ya Vijiji walivyokuwa wakilinda hali ya Usalama na baadaye kuyatelekeza maeneo ya lindo

Awali, Machi 2024, Wanajeshi wengine waliokutwa na hatia kama hiyo walihukumiwa adhabu ya Kifo, ingawa siku chache baadaye Serikali ilibadili adhabu hiyo kuwa kifungo cha Miaka 20 jela.

=====

More than two dozen soldiers, including two captains, were sentenced to death in the Democratic Republic of Congo Wednesday on charges of "fleeing the enemy" during fierce fighting with Tutsi-led M23 rebels
Twenty-five soldiers accused of "fleeing the enemy" while fighting M23 rebels in the Democratic Republic of Congo were sentenced to death Wednesday during a one-day trial, according to their lawyers.

A total of 31 defendants, including 27 soldiers and four of their civilian wives, appeared before the Butembo garrison military court in North Kivu province, near the front line.

They had faced several charges including "fleeing the enemy", dissipating munitions of war, violating orders and theft, Jules Muvweko, one of defence lawyers told AFP.

At the end of the hearing, "25 soldiers, including two captains, were sentenced to death", Muvweko said, adding the defence intended to appeal.

The other accused, including the four women, were acquitted for lack of evidence, he said.

France 24
 
Lile liinchi bana, yaani kakundi kadogo kama M23 kanaliza kila mtu, kama imeshindikana basi kaeni nao muongee....

More than two dozen soldiers, including two captains, were sentenced to death in the Democratic Republic of Congo Wednesday on charges of "fleeing the enemy" during fierce fighting with Tutsi-led M23 rebels
Twenty-five soldiers accused of "fleeing the enemy" while fighting M23 rebels in the Democratic Republic of Congo were sentenced to death Wednesday during a one-day trial, according to their lawyers.

A total of 31 defendants, including 27 soldiers and four of their civilian wives, appeared before the Butembo garrison military court in North Kivu province, near the front line.

They had faced several charges including "fleeing the enemy", dissipating munitions of war, violating orders and theft, Jules Muvweko, one of defence lawyers told AFP.

At the end of the hearing, "25 soldiers, including two captains, were sentenced to death", Muvweko said, adding the defence intended to appeal.

The other accused, including the four women, were acquitted for lack of evidence, he said.
 
Attachments

  • Screenshot_20240705-023719.png
    Screenshot_20240705-023719.png
    373.1 KB · Views: 5
Miafrica bado inatumia sheria ambazo alikuwa anatumia mkoloni kukandamiza watu weusi, ambazo hata kwa watu wake weupe hakuwahi kuzitumia, tunaiga bila kutumia akili, na utakuta hao wanajeshi hata vifaa vyao ni duni kupigana na adui, hakuna jeshi la watu wenye akili linaua wanajeshi wake kwa kukimbia au kujisalimisha kwa adui, pumbaf sana ngozi nyeusi
 
Bora hao wanajeshi 25,,,ila nyie Wakenya kamanda mzima alikimbia uwanja wa vita kwa woga huko congo, nyie jamaa ukanda huu hivi kuna vita gani ya maana mmepigana,,,jeshi lina bajeti kubwa na vifaa vya kisasa ila wanajeshi wake ovyo kabisa no discipline, kule somalia makamanda wakaanza kupiga biashara ya mkaa,yani umeenda vitani unapata wapi muda wa kuanza kuchoma mkaa huko na kuuleta Kenya
Screenshot_20240705-031250_Samsung Internet.jpg

Kamanda kapigwa biti na wakata mauno wa congo katoka nduki🤣🤣🤣
 
Mbona hata jeshi la kenya liliwakimbia m23 pale goma hao wanalizidi hata jeshi lenu kwenye uwanja wa mapambano

Jeshi la Kenya limepambana na kuchakaza magaidi wa Uislamu sembuse hao watoto wa M23.
 
Bora hao wanajeshi 25,,,ila nyie Wakenya kamanda mzima alikimbia uwanja wa vita kwa woga huko congo, nyie jamaa ukanda huu hivi kuna vita gani ya maana mmepigana,,,jeshi lina bajeti kubwa na vifaa vya kisasa ila wanajeshi wake ovyo kabisa no discipline, kule somalia makamanda wakaanza kupiga biashara ya mkaa,yani umeenda vitani unapata wapi muda wa kuanza kuchoma mkaa huko na kuuleta KenyaView attachment 3033926

Kamanda kapigwa biti na wakata mauno wa congo katoka nduki🤣🤣🤣

Jeshi la Kenya limepambana na kuchakaza magaidi wa dini yenu ya Uislamu sembuse hao watoto wa M23.
Hao watoto nimeona juzi wameteka mji mwingine ilhali naskia SADC yote mpo huko mnapambana nao.
 
Twenty-five soldiers with the Democratic Republic of Congo's army have been sentenced to death for fleeing battles against the notorious M23 rebels in the conflict-hit east of the country.

The soldiers were also convicted of theft by a military tribunal as they stole goods from shops in a nearby village after abandoning their positions, an army spokesman said.

Four of the soldiers' wives were acquitted by the military court of receiving goods looted by their husbands.

In March, the government lifted a moratorium, in place for more than 20 years, on the death penalty being carried out after the justice minister cited the need to remove "traitors" from the army.

A lawyer for the soldiers, two of whom were captains, said he would appeal against the sentence, which was handed down on Wednesday by the military tribunal in DR Congo's North Kivu province.

In addition to the 25 who received death sentences, one soldier was given a 10-year prison sentence and another was acquitted.
In May a military court in the city of Goma sentenced eight soldiers to death for "desertion" and "cowardice" when fighting rebel forces.
They, too, are appealing against their sentences.

The M23 rebels have over the last few days captured several towns, including the strategic town of Kanyabayonga.

Neighbouring Rwanda is widely accused of backing the M23, but the government in Kigali denies it.

The UN has said that the current situation in North Kivu is "particularly concerning".
In the past week more than 150,000 civilians fled their homes, it said, worsening a humanitarian crisis in a region where 2.8 million people had already been displaced.
North Kivu is also "perilous" for humanitarian workers, the UN added.
 
Sasa kwanini waliamua kujiunga na jeshi! No retreat no surrender
Tatizo si kwa nini walijiunga na jeshi! Tatizo lililopo ni kuwa hata wakubwa wao wanaowapeleka kwenye uwanja wa mapambano hawataki vita viishe kwani wao ni wanufaika wakubwa wa hiyo vita na wanaishi vizuri wao na familia zao.

Raia wanateseka na wameamua kujitolea kuungana kupigania nchi na roho zao. Serikali imewapa zana gani za kuweza kushindana na hao waasi?

Serikali ya DRC 🇨🇩 ilikuja na suala la kuwateua wanajeshi kuwa kama wakuu wa maeneo / mikoa yenye machafuko , lakini hakuna chochote zaidi ya siasa tu na kupeana ulaji..

Wakiamua kuwamaliza waasi na kuvimaliza vita wanaweza , tatizo Rais nae ni kibaraka wa wazungu.
 
jwtz tunaomba mama awapeleke kdg apo somaliaa...tupige nao mechii kisha turudi kongo kwa m23!
 
Wanajeshi 25 wamehukumiwa adhabu ya Kifo baada ya kukutwa na hatia ya kukimbia Mapigano kati ya Jeshi la nchi hiyo na Waasi wa Kundi la M23

Kwa mujibu wa Msemaji wa Jeshi, Wanajeshi hao pia wamekutwa na hatia ya Wizi kwenye maduka ya Wafanyabiashara kwenye maeneo ya karibu ya Vijiji walivyokuwa wakilinda hali ya Usalama na baadaye kuyatelekeza maeneo ya lindo

Awali, Machi 2024, Wanajeshi wengine waliokutwa na hatia kama hiyo walihukumiwa adhabu ya Kifo, ingawa siku chache baadaye Serikali ilibadili adhabu hiyo kuwa kifungo cha Miaka 20 jela.

=====

More than two dozen soldiers, including two captains, were sentenced to death in the Democratic Republic of Congo Wednesday on charges of "fleeing the enemy" during fierce fighting with Tutsi-led M23 rebels
Twenty-five soldiers accused of "fleeing the enemy" while fighting M23 rebels in the Democratic Republic of Congo were sentenced to death Wednesday during a one-day trial, according to their lawyers.

A total of 31 defendants, including 27 soldiers and four of their civilian wives, appeared before the Butembo garrison military court in North Kivu province, near the front line.

They had faced several charges including "fleeing the enemy", dissipating munitions of war, violating orders and theft, Jules Muvweko, one of defence lawyers told AFP.

At the end of the hearing, "25 soldiers, including two captains, were sentenced to death", Muvweko said, adding the defence intended to appeal.

The other accused, including the four women, were acquitted for lack of evidence, he said.

France 24
Walinda amani wamegeuka kuwa wavunja amani Kwa kudhurumu mali za raia,. Wachukuluwe hatua
 
Nikajua umekufa kwenye maandamano ya mungiki
 
Back
Top Bottom