Wanajeshi wengine 25 wahukumiwa kifo kwa kukimbia Mapigano dhidi ya Waasi wa M23 DRC

Wanajeshi wengine 25 wahukumiwa kifo kwa kukimbia Mapigano dhidi ya Waasi wa M23 DRC

Wanajeshi 25 wamehukumiwa adhabu ya Kifo baada ya kukutwa na hatia ya kukimbia Mapigano kati ya Jeshi la nchi hiyo na Waasi wa Kundi la M23

Kwa mujibu wa Msemaji wa Jeshi, Wanajeshi hao pia wamekutwa na hatia ya Wizi kwenye maduka ya Wafanyabiashara kwenye maeneo ya karibu ya Vijiji walivyokuwa wakilinda hali ya Usalama na baadaye kuyatelekeza maeneo ya lindo

Awali, Machi 2024, Wanajeshi wengine waliokutwa na hatia kama hiyo walihukumiwa adhabu ya Kifo, ingawa siku chache baadaye Serikali ilibadili adhabu hiyo kuwa kifungo cha Miaka 20 jela.

=====

More than two dozen soldiers, including two captains, were sentenced to death in the Democratic Republic of Congo Wednesday on charges of "fleeing the enemy" during fierce fighting with Tutsi-led M23 rebels
Twenty-five soldiers accused of "fleeing the enemy" while fighting M23 rebels in the Democratic Republic of Congo were sentenced to death Wednesday during a one-day trial, according to their lawyers.

A total of 31 defendants, including 27 soldiers and four of their civilian wives, appeared before the Butembo garrison military court in North Kivu province, near the front line.

They had faced several charges including "fleeing the enemy", dissipating munitions of war, violating orders and theft, Jules Muvweko, one of defence lawyers told AFP.

At the end of the hearing, "25 soldiers, including two captains, were sentenced to death", Muvweko said, adding the defence intended to appeal.

The other accused, including the four women, were acquitted for lack of evidence, he said.

France 24
Bashakaga ubwabo, baramutse bemeye gusohoza ibyifuzo bya M23 hashize imyaka igera ku 10, uyu munsi ntibari kugera aho bacira imanza abasirikari babo, ibi biteye isoni cyane igihugu cya Congo
 
Jeshi la Kenya limepambana na kuchakaza magaidi wa dini yenu ya Uislamu sembuse hao watoto wa M23.
Hao watoto nimeona juzi wameteka mji mwingine ilhali naskia SADC yote mpo huko mnapambana nao.
M23 kamanda katoka nduki halafu hawajamrushia hata kombora ,kapiwa biti tu ,hamna kitu hapo
 
Back
Top Bottom