Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Ulivyo mshamba na bwegge hujui kwamba hata Somalia ni nje ya nchi.Mimi natumia cm aina ya lava hii cm Tanzania hamna mpka nje ya nchi ndo unaipt cjui mwenzangu unatmia cm aina gn
Halafu mtu fala kama wewe utakuta unakaa kwa shemeji kodi ya nyumba shikamoo na kiuno cha dada yako.
Kwahiyo Somalia siyo nje ya nchi?mbona unanitukana mkuu? hasira za nini? we ni mmoja wa watumiaji wa hizo kitu? we tumia tu ni ya kwako, nipo kwangu mkuu, pia sina dada nina mke na watoto...hongera kwa kupitia maisha hayo ya kuhudumiwa na mwanaume mwenzako.
Hii jamani wewe! Una matuc kama mafundi wa Tanesco!Ulivyo mshamba na bwegge hujui kwamba hata Somalia ni nje ya nchi.
Wanaotuponda sisi tunaoenda kibaruani goba kukata nyasi watuache pia![emoji53][emoji53][emoji53]Hii ndio simu yangu. Nimeinunua 2015 sibadili hadi igome kufanya kaziView attachment 724987
Sawa mkuu...nitafanyaje na nyasi ndio zinaniweka mjini...?Wanaotuponda sisi tunaoenda kibaruani goba kukata nyasi watuache pia![emoji53][emoji53][emoji53]
Si ndiyo hapo sasa!!Sawa mkuu...nitafanyaje na nyasi ndio zinaniweka mjini...?
hahaaakutumia Tecno ni sawa na kujamba afu ujikaushe..Tecno ni sawa na mdoli
hahaaa hata Malawi mkuu""Ulivyo mshamba na bwegge hujui kwamba hata Somalia ni nje ya nchi.
Hii ndio simu yangu. Nimeinunua 2015 sibadili hadi igome kufanya kaziView attachment 724987
Pole sana mkuu.
Hiki ni kifaa cha mawasiliano, sio simu.
True say..Kumbuka msemo wa nyama ni ileile bucha tofauti kama simu ina operating system inayotambulika kimataifa kuna shida gani? Tecno bado ni simu nzuri sema tu uchaguzi wa mhusika ukilinganganisha na bei ya soko hata mtu wa kawaida anaweza kuipata so wenye roho za ubinafsi na kutaka waonekane wao walichonacho ni bora kuliko cha wenzao (degree of speciality).
Upogo madamPambana na hali yako maisha fake yako humu kwa baadhi ya watu
Alafu unaongeza sauti harufu isickikekutumia Tecno ni sawa na kujamba afu ujikaushe..Tecno ni sawa na mdoli