WanaJF acheni kutuponda tunaotumia TECNO

WanaJF acheni kutuponda tunaotumia TECNO

Halafu mtu fala kama wewe utakuta unakaa kwa shemeji kodi ya nyumba shikamoo na kiuno cha dada yako.

mbona unanitukana mkuu? hasira za nini? we ni mmoja wa watumiaji wa hizo kitu? we tumia tu ni ya kwako, nipo kwangu mkuu, pia sina dada nina mke na watoto...hongera kwa kupitia maisha hayo ya kuhudumiwa na mwanaume mwenzako.
 
Kwahiyo Somalia siyo nje ya nchi?
 
Natumia Xton W7+ zunguka kote hutaipata hapa A. Mashariki na Kati.

Ndo nishasema sasa.
 
Natumia samsung note 8,siwapondei wala siwadharau,sema kuna tofauti kati ya mwenye v8 na vitz
 
Haahah Padri mcharo anapenda sana kuwabeza watumiaji wa tecno
 
Hii ndio simu yangu. Nimeinunua 2015 sibadili hadi igome kufanya kazi
IMG_20180325_183450.jpg
 
Kumbuka msemo wa nyama ni ileile bucha tofauti kama simu ina operating system inayotambulika kimataifa kuna shida gani? Tecno bado ni simu nzuri sema tu uchaguzi wa mhusika ukilinganganisha na bei ya soko hata mtu wa kawaida anaweza kuipata so wenye roho za ubinafsi na kutaka waonekane wao walichonacho ni bora kuliko cha wenzao (degree of speciality).
True say..
 
Cjawah penda tecno hata
Unipe bure naiuzasku hyohyo
Bora nibak bla cm
 
Back
Top Bottom