ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
I miss youNilitaka niseme "andika vizuri basi" ila nikasoma I'd yako nikaamua kuacha maana HAUSHAURIKI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Me sielewi ebu njoo inbox unishauri vizuri namna ya kuandika.nakuomba Sana dada yanguNilitaka niseme "andika vizuri basi" ila nikasoma I'd yako nikaamua kuacha maana HAUSHAURIKI.
Sent using Jamii Forums mobile app
itakuwa ana muda mwingi siku yake ina masaa 27Aisee huyu Mshana Jr anajua almost kila kitu.... hahah ukienda kwenye politics utamkuta nachangia tena deeply with critical knowledge,
ukiingia jukwaa la kimataifaa yumoo kajaa tele na ushauri kemkem anatoa
jukwaa la intelligensia siongei sana nyie wenyewe mnaonaga maana maswala ya ushirikina uchawi wanga majini wafu yumoo hahahaa
Jukwaa la vichekesho yumo kule piaaa duh
Karibia kila jukwaa yumoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa nimekusahau wewe hahahitakuwa ana muda mwingi siku yake ina masaa 27
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilitaka niseme "andika vizuri basi" ila nikasoma I'd yako nikaamua kuacha maana HAUSHAURIKI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni brain mmoja matata sana, alafu hajui kuchukia. Anapewa za uso anajibu tu na viemoj anacheka. Nafikiri utu uzima nao unachangia, ana busara sana.Aisee huyu Mshana Jr anajua almost kila kitu.... hahah ukienda kwenye politics utamkuta nachangia tena deeply with critical knowledge,
ukiingia jukwaa la kimataifaa yumoo kajaa tele na ushauri kemkem anatoa
jukwaa la intelligensia siongei sana nyie wenyewe mnaonaga maana maswala ya ushirikina uchawi wanga majini wafu yumoo hahahaa
Jukwaa la vichekesho yumo kule piaaa duh
Karibia kila jukwaa yumoo
Sent using Jamii Forums mobile app
We mtu nakutafuta sana ujue, hivi nani anakuficha?[emoji134]itakuwa ana muda mwingi siku yake ina masaa 27
Mchokozi weeeeNilitaka niseme "andika vizuri basi" ila nikasoma I'd yako nikaamua kuacha maana HAUSHAURIKI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika aspect angle ipi au umeaua kwa Mahaba mzito uliyonayo kwa Paskali na Mshana??Hapa ndani kuna idadi ya forum ngapi??Hebu tuondolee hapa upaukwa pakawa.Mimi nafikiri Kama Ni tuzo imeletwa wanagombea watu wawili mshana Jr na Paschal mayala me naona itakuwa ngumu Sana kujua mshindi Nani maana wote Wana jua secret knowledge kwa kiwango kikubwa.nakubali kabisa ili ufanikiwe inabidi uchukue dhamiri walizobeba ndani ya roho zao.best ID asanteni Sana kutufikisha walau hapa tulipo kuhusiana na Mambo mawili partial truth(outer, science, region, system,) pamoja na universal Truth.michango mliyotuchangia Ni zaidi ya comprehensive lessons.[emoji1666][emoji120] Mshana Jr [emoji769]
Paschal mayala [emoji2398]
Yaani wewe unataka mwalimu akufuate wewe?Me sielewi ebu njoo inbox unishauri vizuri namna ya kuandika.nakuomba Sana dada yangu
Kashakuloga wewe sio bure[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yes Mshana Jr hachuji japo na ukalumanzila wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
sio mimiNilikuwa nimekusahau wewe hahah
We jamaa unaongoza kwa vicomment vifupifupi vya kuvunja mbavu[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipigie kura basi au jina langu halimo kwenye kinyang'anyiro?
Hivi ukalumanzila ni "umwanamazingaumbwe"? [emoji13][emoji13][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yes Mshana Jr hachuji japo na ukalumanzila wake.
Sent using Jamii Forums mobile app