ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Mimi nafikiri Kama Ni tuzo imeletwa wanagombea watu wawili mshana Jr na Paschal mayala me naona itakuwa ngumu Sana kujua mshindi Nani maana wote Wana jua secret knowledge kwa kiwango kikubwa.Nakubali kabisa ili ufanikiwe inabidi uchukue dhamiri walizobeba ndani ya roho zao.
Best ID asanteni Sana kutufikisha walau hapa tulipo kuhusiana na Mambo mawili partial truth(outer, science, region, system,) pamoja na universal Truth.
Michango mliyotuchangia Ni zaidi ya comprehensive lessons.[emoji1666][emoji120] Mshana Jr [emoji769]
Paschal mayala [emoji2398]