WanaJF Bora wa siku zote

[emoji44][emoji44][emoji44][emoji30][emoji30][emoji87][emoji87][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]

Sijasema kwa nia mbaya hapo namaanisha kuwa wewe ndio kiungo wa JF
POPOTE ULIPO NASI TUPO[emoji38]
Kwamtazamo wangu nafikiri wewe ulishawahi kupata ajali miaka ya nyuma ukaongezewa damu ya Seif Sharif Hamad[emoji1321]‍♂️
 
Sijasema kwa nia mbaya hapo namaanisha kuwa wewe ndio kiungo wa JF
POPOTE ULIPO NASI TUPO[emoji38]
Kwamtazamo wangu nafikiri wewe ulishawahi kupata ajali miaka ya nyuma ukaongezewa damu ya Seif Sharif Hamad[emoji1321]‍[emoji3603]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dah, watu na bahati zao bwana. Nimemtaja tu wewe hoi. Basi na mimi nizimikie[emoji12][emoji23][emoji39]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe si unajua vile nakuzimikia.
 
Mshana Jr, unajua kila kitu....?
 
kitambo hatujaonana nahisi kashanisahau hata kikumbo anaweza akanipiga tena kile cha kutukania kabisa
Hata kuwe na giza totoro kamwe siwezi kukusahau, kwani masikio yangu yanaikumbuka vyema sauti yako. Hata nipofuke macho pua zangu zitaniongoza ulipo kwani zimeshainasa vilivyo harufu yako. Hivyo ondoa shaka juu ya hilo
 
usiandike hapa espy ataona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…