Acha wivu we jamaa. Ingekuwa kwenye ubazazi wallah usingepata mpinzaniKatika aspect hipi au umeaua kwa Mahaba mzito uliyonayo kwa Paskali na Mshana??Hapa ndani kuna idadi ya forum ngapi??Hebu tuondolee hapa upaukwa pakawa.
mi nipo ila hunitafuti
[emoji13][emoji13][emoji13]kweli Hashauriki.Mchokozi weeee
Lakwako halipo Babu Mchumba.Nipigie kura basi au jina langu halimo kwenye kinyang'anyiro?
Hahaaa[emoji13][emoji13][emoji13]kweli Hashauriki.
Nilimshamshauri sana, sasa nimekata tamaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo nisipokutafuta hunitafuti?mi nipo ila hunitafuti
nimekuwa mvivu wa kuchangia tu
Ah basi hii thread kumbe haina mashiko. Ngoja nihamie jukwaa la wakubwaLakwako halipo Babu Mchumba.
Mada yako itakuja tuu[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Sent using Jamii Forums mobile app
Behaviorist vs asprinLakwako halipo Babu Mchumba.
Mada yako itakuja tuu[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji13][emoji13][emoji13]mada zake huwa zinaniogopesha. Nikitaka kusoma huwa nakaa eneo la wazi maana unaweza guswa na jani ukahisi ni jini.Uchawi. Huyu Mshana Jr analoga mpaka maiti. Mpare kashindikana huyu. Kwenye huu mtanange lazima atashinda tu
Nipeleke na mimi basi. Huwa nalisikia tuu.Ah basi hii thread kumbe haina mashiko. Ngoja nihamie jukwaa la wakubwa
nakutafuta sana
Mkuu acha wivu!Katika aspect angle ipi au umeaua kwa Mahaba mzito uliyonayo kwa Paskali na Mshana??Hapa ndani kuna idadi ya forum ngapi??Hebu tuondolee hapa upaukwa pakawa.
Hapo babu mchumba lazima ashinde maana huyo mwingine kichwa chake kimejaa chura tuu.Behaviorist vs asprin
Hapana. Kule watakufundisha tabia mbaya. Nami sipendi uwe na tabia mbaya
Hureeee!Hapo babu mchumba lazima ashinde maana huyo mwingine kichwa chake kimejaa chura tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app