Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Yaani nitafurahii nizae mtoto kichwa kama baba yake.Ukiona umepata mimba na hiyo bikira yako ujue tayari huyu mchawi kashafanya yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani nitafurahii nizae mtoto kichwa kama baba yake.Ukiona umepata mimba na hiyo bikira yako ujue tayari huyu mchawi kashafanya yake
Ni brain mmoja matata sana, alafu hajui kuchukia. Anapewa za uso anajibu tu na viemoj anacheka. Nafikiri utu uzima nao unachangia, ana busara sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa acha kuniharibia basi....Nakuona unavyoenda na chaki mwisho wake si mzuri Asprin atakutoa mchezoni simuda mrefu uharibu kipaji chako
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi amekuwa mwoga mwoga Sana hafunguki kiviileAisee huyu Mshana Jr anajua almost kila kitu.... hahah ukienda kwenye politics utamkuta nachangia tena deeply with critical knowledge,
ukiingia jukwaa la kimataifaa yumoo kajaa tele na ushauri kemkem anatoa
jukwaa la intelligensia siongei sana nyie wenyewe mnaonaga maana maswala ya ushirikina uchawi wanga majini wafu yumoo hahahaa
Jukwaa la vichekesho yumo kule piaaa duh
Karibia kila jukwaa yumoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kichwa cha kichawiYaani nitafurahii nizae mtoto kichwa kama baba yake.
Mkuu umeamua tu kutoa machungu yako au inahusiana na mada? Pole kwa kuzushiwa ila lisemwalo lipo[emoji85][emoji85][emoji85]Halafu Mshana Jr.Ni mtetezi sana wakati wote Watu wanaweza wakaamua kumzushia tu MTU Mfano humu JF Kuna wanawake kikundi Fulani Hivi wanajijuaaa(wanajifanyaga wanajua Kila kitu.Siri za Watu wanazijua wao.Sijui Fulani ana nini Na nini vyote wanajua wao.Na huwa wanateteana Sasa Kuna siku niliwatoa thamani sana nilijua walau Hata kashule wameenda kumbe wapi Bana Wapo kufurahisha kijiwe warudi kufunga tumbaku (alitokeaga MTU mmoja akawa anaweka mada za kuelimisha basi wakaanza kumuonea Choyo Na husda why mwanamke mwenzao awe Deep kiasi kile wakaanza kuzusha ..'Aaaw wapi aweze kuandika haya atakuwa ameigilizia mahali wakaambiwa Mbona MTU akiiba andiko la MTU Ni rahisi kujua Unadetect tu basi leteni alipoiba. Wapo humu wanajijua.Na humpinga Kila MTU Na kufanya aonekane Sio lolote.Nashukuru baada ya muda Watu wakaanza kuwaelewa.
Sijataja jina.Najua walivyo masaa yote humu Hapa wanasoma Na wameshajijua
Acheni chuki Na kueneza mabaya wadada nyie mliokosa haya Na kufatilia Maisha ya ndani ya Watu.
Mji mzito huu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kichwa cha kichawi
Usije ukasema sijakushauri. Kaa mbali na huyo jamaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha uchawi babu.
tumpe.uwaziri aiseAisee huyu Mshana Jr anajua almost kila kitu.... hahah ukienda kwenye politics utamkuta nachangia tena deeply with critical knowledge,
ukiingia jukwaa la kimataifaa yumoo kajaa tele na ushauri kemkem anatoa
jukwaa la intelligensia siongei sana nyie wenyewe mnaonaga maana maswala ya ushirikina uchawi wanga majini wafu yumoo hahahaa
Jukwaa la vichekesho yumo kule piaaa duh
Karibia kila jukwaa yumoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umeamua tu kutoa machungu yako au inahusiana na mada? Pole kwa kuzushiwa ila lisemwalo lipo[emoji85][emoji85][emoji85]
duh hatariBila kusahau jukwaa la mapenzi na ishu za umalaya pia hakosekanagiii...[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Uniwache babu we.Usije ukasema sijakushauri. Kaa mbali na huyo jamaa.
kitambo hatujaonana nahisi kashanisahau hata kikumbo anaweza akanipiga tena kile cha kutukania kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanini baby?
Si nilikwambia mimi pekee ndio nitakaedumu na wewe ukajifanya una kiranga sana. Yako wapi sasa?kitambo hatujaonana nahisi kashanisahau hata kikumbo anaweza akanipiga tena kile cha kutukania kabisa