Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndio maana ww ni Yanga
yeah ni yanga
bakuli fc
Mikia fc mna shida sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndio maana ww ni Yanga
yeah ni yanga
bakuli fc
Mshana ni all weather aisee.Weka vigezo huo ubora vipi...
Mayalla ni mtu wa jukwaa la siasa huko na majukwaa yapo zaidi ya ma5..
Kila mmoja ni Master wa jukwaa husika.
Kuna wenye michango jukwaa la wakubwa kule,wengine mmu so haitakua fair kwa upande wangu kuwajumuisha bila vigezo.
kwako kigoma mwisho wa reli nimefika kwakoSi nilikwambia mimi pekee ndio nitakaedumu na wewe ukajifanya una kiranga sana. Yako wapi sasa?
Mshana ni all weather aisee.
Ndio ukitulize sasa usijeniua.kwako kigoma mwisho wa reli nimefika kwako
nilikuwa nafikiri kigoma ni mbali kumbe nipo tabora
timu nzima mwenye akili mmoja tu Mzee akilimali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mikia fc mna shida sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mikia fc mna shida sana.
Baby unajua utakula ulikopeleka mboga huko kwa mo fc!!!!timu nzima mwenye akili mmoja tu Mzee akilimali
naonaga aibu sana tu
siwezi kukuua kwasababu nataka niishi na weweNdio ukitulize sasa usijeniua.
Niliichoka, kuna mtu aliniambia haifai hata nikikoment kwenye msiba naonekana nacheka. Nikamsikiliza.Si ungeacha ile avatar ya mwanzo tu!
Hiyo mihangaiko yako huoni utanimliza mapema?siwezi kukuua kwasababu nataka niishi na wewe
sawa najua nilichoongea ukweliBaby unajua utakula ulikopeleka mboga huko kwa mo fc!!!!
Niliichoka, kuna mtu aliniambia haifai hata nikikoment kwenye msiba naonekana nacheka. Nikamsikiliza.
Uzuri wa hii njemba haikurupuki inapoanzisha uzi.Aisee huyu Mshana Jr anajua almost kila kitu.... hahah ukienda kwenye politics utamkuta nachangia tena deeply with critical knowledge,
ukiingia jukwaa la kimataifaa yumoo kajaa tele na ushauri kemkem anatoa
jukwaa la intelligensia siongei sana nyie wenyewe mnaonaga maana maswala ya ushirikina uchawi wanga majini wafu yumoo hahahaa
Jukwaa la vichekesho yumo kule piaaa duh
Karibia kila jukwaa yumoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Adhabu yako wiki hii sitokuwepo nyumbani hadi next week j4.sawa najua nilichoongea ukweli
ila sikupaswa niseme ukweli
tuyaache hayo baby wangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Basi hii nayo sio itoe bana.
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Mkuu umeamua tu kutoa machungu yako au inahusiana na mada? Pole kwa kuzushiwa ila lisemwalo lipo[emoji85][emoji85][emoji85]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
tangu ulivyoniahidi utatulia na mimi nimetuliaHiyo mihangaiko yako huoni utanimliza mapema?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ivumilie vumilie hadi niichoke mkuu.