Kizzy Wizzy
JF-Expert Member
- Aug 2, 2013
- 3,280
- 3,789
Ni ww[emoji23][emoji23]sio mimi
Moja ya comment zako mtu akiandika mashudu utaskia.......
"Aibu naona mimi"
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ww[emoji23][emoji23]sio mimi
Ama kweli kazi ninayo[emoji134]tangu ulivyoniahidi utatulia na mimi nimetulia
Kipendacho roho jamani, si unaona wewe uko na mlevi wa taifa.Ndio mdomo wako! Sijui umeipendea nini haya bwana
Limemkereketa, halafu utakuta anajiongelea yeye [emoji13][emoji13][emoji13][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maana sio kwa gazeti lile, sio bure.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Limemkereketa, halafu utakuta anajiongelea yeye [emoji13][emoji13][emoji13]
Sent using Jamii Forums mobile app
Bazazi[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]I miss you
Aisee huyu Mshana Jr anajua almost kila kitu.... hahah ukienda kwenye politics utamkuta nachangia tena deeply with critical knowledge,
ukiingia jukwaa la kimataifaa yumoo kajaa tele na ushauri kemkem anatoa
jukwaa la intelligensia siongei sana nyie wenyewe mnaonaga maana maswala ya ushirikina uchawi wanga majini wafu yumoo hahahaa
Jukwaa la vichekesho yumo kule piaaa duh
Karibia kila jukwaa yumoo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji44][emoji44][emoji30][emoji30][emoji30][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Bila kusahau jukwaa la mapenzi na ishu za umalaya pia hakosekanagiii...[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]itakuwa ana muda mwingi siku yake ina masaa 27
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji120][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yes Mshana Jr hachuji japo na ukalumanzila wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji120]am humbled...!!!Ni brain mmoja matata sana, alafu hajui kuchukia. Anapewa za uso anajibu tu na viemoj anacheka. Nafikiri utu uzima nao unachangia, ana busara sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Katika aspect angle ipi au umeaua kwa Mahaba mzito uliyonayo kwa Paskali na Mshana??Hapa ndani kuna idadi ya forum ngapi??Hebu tuondolee hapa upaukwa pakawa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kashakuloga wewe sio bure
[emoji3][emoji3][emoji3]
Kama wewe [emoji87][emoji87][emoji87][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23]Acha wivu we jamaa. Ingekuwa kwenye ubazazi wallah usingepata mpinzani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hayo majukwaa yote ina maana ni imara sana hakuna hata moja liliwahi kumwangusha?daimond kafanya shoo sehem mbali mbali juzi tuu hapa jukwaa limemndoshaAisee huyu Mshana Jr anajua almost kila kitu.... hahah ukienda kwenye politics utamkuta nachangia tena deeply with critical knowledge,
ukiingia jukwaa la kimataifaa yumoo kajaa tele na ushauri kemkem anatoa
jukwaa la intelligensia siongei sana nyie wenyewe mnaonaga maana maswala ya ushirikina uchawi wanga majini wafu yumoo hahahaa
Jukwaa la vichekesho yumo kule piaaa duh
Karibia kila jukwaa yumoo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji13][emoji13][emoji13]mada zake huwa zinaniogopesha. Nikitaka kusoma huwa nakaa eneo la wazi maana unaweza guswa na jani ukahisi ni jini.
Sent using Jamii Forums mobile app