WanaJF Bora wa siku zote

WanaJF Bora wa siku zote

Kwahiyo all weather sikupaswa kulitumia hapo? Basi shukrani kwa darasa la bure.

All weather kwa Mshana ni sahihi pia, kwamba hachuji na yupo kwa muda mrefu.

Ila unakuwa umempunja kwa sababu haitoi ufafanuzi kwamba jamaa yuko kote, MMU, Chitchat, Intelligence, Siasa, Imani, JLW, Biashara etc na kote anapatendea haki.
 
All weather kwa Mshana ni sahihi pia, kwamba hachuji na yupo kwa muda mrefu.

Ila unakuwa umempunja kwa sababu haitoi ufafanuzi kwamba jamaa yuko note, MMU, Chitchat, Intelligence, Siasa, Imani, JLW, Biashara etc na note anapatendea haki.
Oooh, basi sawa. Asante.
 
Back
Top Bottom