WanaJF Bora wa siku zote

WanaJF Bora wa siku zote

Halafu Mshana Jr.Ni mtetezi sana wakati wote Watu wanaweza wakaamua kumzushia tu MTU Mfano humu JF Kuna wanawake kikundi Fulani Hivi wanajijuaaa(wanajifanyaga wanajua Kila kitu.Siri za Watu wanazijua wao.Sijui Fulani ana nini Na nini vyote wanajua wao.Na huwa wanateteana Sasa Kuna siku niliwatoa thamani sana nilijua walau Hata kashule wameenda kumbe wapi Bana Wapo kufurahisha kijiwe warudi kufunga tumbaku (alitokeaga MTU mmoja akawa anaweka mada za kuelimisha basi wakaanza kumuonea Choyo Na husda why mwanamke mwenzao awe Deep kiasi kile wakaanza kuzusha ..'Aaaw wapi aweze kuandika haya atakuwa ameigilizia mahali wakaambiwa Mbona MTU akiiba andiko la MTU Ni rahisi kujua Unadetect tu basi leteni alipoiba. Wapo humu wanajijua.Na humpinga Kila MTU Na kufanya aonekane Sio lolote.Nashukuru baada ya muda Watu wakaanza kuwaelewa.
Sijataja jina.Najua walivyo masaa yote humu Hapa wanasoma Na wameshajijua
Acheni chuki Na kueneza mabaya wadada nyie mliokosa haya Na kufatilia Maisha ya ndani ya Watu.
Mji mzito huu.
Ni brain mmoja matata sana, alafu hajui kuchukia. Anapewa za uso anajibu tu na viemoj anacheka. Nafikiri utu uzima nao unachangia, ana busara sana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee huyu Mshana Jr anajua almost kila kitu.... hahah ukienda kwenye politics utamkuta nachangia tena deeply with critical knowledge,

ukiingia jukwaa la kimataifaa yumoo kajaa tele na ushauri kemkem anatoa

jukwaa la intelligensia siongei sana nyie wenyewe mnaonaga maana maswala ya ushirikina uchawi wanga majini wafu yumoo hahahaa

Jukwaa la vichekesho yumo kule piaaa duh

Karibia kila jukwaa yumoo

Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi amekuwa mwoga mwoga Sana hafunguki kiviile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu Mshana Jr.Ni mtetezi sana wakati wote Watu wanaweza wakaamua kumzushia tu MTU Mfano humu JF Kuna wanawake kikundi Fulani Hivi wanajijuaaa(wanajifanyaga wanajua Kila kitu.Siri za Watu wanazijua wao.Sijui Fulani ana nini Na nini vyote wanajua wao.Na huwa wanateteana Sasa Kuna siku niliwatoa thamani sana nilijua walau Hata kashule wameenda kumbe wapi Bana Wapo kufurahisha kijiwe warudi kufunga tumbaku (alitokeaga MTU mmoja akawa anaweka mada za kuelimisha basi wakaanza kumuonea Choyo Na husda why mwanamke mwenzao awe Deep kiasi kile wakaanza kuzusha ..'Aaaw wapi aweze kuandika haya atakuwa ameigilizia mahali wakaambiwa Mbona MTU akiiba andiko la MTU Ni rahisi kujua Unadetect tu basi leteni alipoiba. Wapo humu wanajijua.Na humpinga Kila MTU Na kufanya aonekane Sio lolote.Nashukuru baada ya muda Watu wakaanza kuwaelewa.
Sijataja jina.Najua walivyo masaa yote humu Hapa wanasoma Na wameshajijua
Acheni chuki Na kueneza mabaya wadada nyie mliokosa haya Na kufatilia Maisha ya ndani ya Watu.
Mji mzito huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umeamua tu kutoa machungu yako au inahusiana na mada? Pole kwa kuzushiwa ila lisemwalo lipo[emoji85][emoji85][emoji85]
 
Aisee huyu Mshana Jr anajua almost kila kitu.... hahah ukienda kwenye politics utamkuta nachangia tena deeply with critical knowledge,

ukiingia jukwaa la kimataifaa yumoo kajaa tele na ushauri kemkem anatoa

jukwaa la intelligensia siongei sana nyie wenyewe mnaonaga maana maswala ya ushirikina uchawi wanga majini wafu yumoo hahahaa

Jukwaa la vichekesho yumo kule piaaa duh

Karibia kila jukwaa yumoo

Sent using Jamii Forums mobile app
tumpe.uwaziri aise

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kitambo hatujaonana nahisi kashanisahau hata kikumbo anaweza akanipiga tena kile cha kutukania kabisa
Si nilikwambia mimi pekee ndio nitakaedumu na wewe ukajifanya una kiranga sana. Yako wapi sasa?
 
Weka vigezo huo ubora vipi...

Mayalla ni mtu wa jukwaa la siasa huko na majukwaa yapo zaidi ya ma5..

Kila mmoja ni Master wa jukwaa husika.

Kuna wenye michango jukwaa la wakubwa kule,wengine mmu so haitakua fair kwa upande wangu kuwajumuisha bila vigezo.
 
Back
Top Bottom