Siyo kwa ubaya bali kwa mema tu...tupange ratiba ya kuonana hata Mara mbili kwa mwaka....tunaonana kwa ajili ya kufurahi,kubadilishana mawazo,kubadilisha mazingira,kupeana michongo na vingine vingi visivyo na madhara.
Tusibaguane wala kuweka matabaka ...Mali ni zetu lakini uhai si Mali yetu bas muda huu tupo hai tutengeneze aman na upendo sisi kwa sisi.Tanzania ni yetu bas tusitengane wandugu.NAWAPENDA SANA!
Tutajitambulisha id zetu au tunakutana tu Kama ming'ombe..?
Mkuu nataka ukutane na Jumbe BrownHaya tupe tarehe na venue.
Tutajitambulisha id zetu au tunakutana tu Kama ming'ombe..?
Me nataka kukutana na wewe banaMkuu nataka ukutane na Jumbe Brown
Mi nataka uonane na Jumbe[emoji1787]Me nataka kukutana na wewe bana
Huyo jumbe ni nani au ana issue gani?Mi nataka uonane na Jumbe[emoji1787]
Mimi nipo sana.
Siyo unataka tuonane kisa bro Extrovert kasema
Anazingua asee.. Tatizo Depal anadeka Sana Kaka,yaani Hadi tukimbizane na kupigiana masongi km tupo India bwana[emoji21]Dogo hajaelewa kali kabisa[emoji28]
Unaona sasa ulivyo na kisirani D..Mbona mzito Sana kufungua code.Maana yake ni kwamba wewe Una special invitation ndy maana sijataka uje na troopKumbe ulianzia hapa.
Nifute akilini mwako [emoji2212]
Mpango mzuri kabisato yeye unaweza come na action plan kwanza mambo yote yawekwe bayani kuwa yeyote atakae taka ku-reveal identity yake ni kwamba atakua amei-reveal at his/her own risk/advantage, Ikiwa na maana kwamba si shuruti mtu kureveal Identity yake.
Next groups za whatsapp zitengenezwe kulingana na mikoa pendekezwa ya kukutana then watu wata join kupitia links husika na baada ya hapo mipango zaidi ya ku-arrange meetup itaendelea.
Mi ni new school wa JF sijawahi udhulia meetup yoyote ya JF, wala kushuhudia arrangement yoyote pia.
Nawasilisha.
Ahahahah [emoji28][emoji28]..Naonekana chizi hapa nacheka pekeyanguKunguru Kanyea ugali wa masela[emoji28]