Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Nonoonoooo......Mna undugu na deepbond?
Sijawahi hata kumingle nae
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nonoonoooo......Mna undugu na deepbond?
Labuda lakini wengine tushaharibu humu hata usipojitaja Kuna mimtu ambayo shipa la mdomo lishakatika linaweza kukubambikiza jina la mwana jf mwengine..😂Bas tutakutana kwa majina yetu halisi ya jf kapuni....tutaanza kumsema@mzabzab na mbususu zake kumbe unaecheka sana ndo mzabzab
Karibu IsyesyeSawa nimekupata mkuu
Naunganisha mikono kwenyw hii hoja....😜Hapo kwenye "mitafuno ni dhambi" napinga kabisaaa...
Kikupacho furaha na amani sio dhambi.
Kwa hiyo viba100 mlipewa stara. Zama zimebadilika kidogo mkuuTena kwa staha pasipo kuvunja chaga, tena enzi zile sikuwahi kuona member aliemfungulia uzi mwenzake "eti kwasababu amekutana na kiba100"...[emoji4][emoji5]
Haya nipo ukireini mnajipangaje Sasa..?😂Tuonane bhanaa,acha uvivu
Wanaosemaga hivi ndo mmeshaonana mpk na mods wa jf..😂Mtakaoonana mtanihadithia
Ndiondio mkuu....We jamaa wewe
Hili nalo neno unawezakutana na jibibi ambalo halitaki limegoma kutoka kwenye udada!.. unajishangaa stori mnaanza kupiga za kilimo Kwanza..😂Mleta mada weka age group basi, usije kuonana na sie umri ushaenda sana tukaonekana na watoto wa fom foo!!
Nikweli kabisa mkuundugu yangu....Kwa hiyo viba100 mlipewa stara. Zama zimebadilika kidogo mkuu