WanaJF inatakiwa tuonane jamani

WanaJF inatakiwa tuonane jamani

Mm nashahuri sisi wa makao makuu wa jf yaani tulioko Happ dsm tutafute bar yetu tuwe tunaenda pale kukutana na kula drinks na kuendelea kusoma nyuzi huku tukifurahia na big screen ikionesha mechi za mbali mbali huku unashushia na bia Yako ya baridi nzuri pia
Au Kama Hilo haliwezekani Basi hata tutafutiwe mghahawa wetu tuwe tunakutana kwa wanajamii forums tu kwa ajili ya kula ktk mgahawa weetu pendwa huku unaperuz nyuzi mbali mbali pia itapendeza

Kama itakuwa bar Basi iwe jf bar members only
Au jf restaurant members only

Mkuu mero fanya Hilo wazo kazi
 
Back
Top Bottom