WanaJF inatakiwa tuonane jamani

WanaJF inatakiwa tuonane jamani

Kumbe KUONANA, mimi macho yangu madogo yakasema KUOWANA, [emoji23]nikawa nishakupigia mahesabu, "wangu mleta mada" halafu wanaume wako wangapi, wanawake wako wangapi, tujue kila mmoja anaoa wangapi wangapi, kisha mimi niseme UFEI "naanza mimi kuchagua" [emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
Siyo kwa ubaya bali kwa mema tu...tupange ratiba ya kuonana hata Mara mbili kwa mwaka....tunaonana kwa ajili ya kufurahi,kubadilishana mawazo,kubadilisha mazingira,kupeana michongo na vingine vingi visivyo na madhara.

Tusibaguane wala kuweka matabaka ...Mali ni zetu lakini uhai si Mali yetu bas muda huu tupo hai tutengeneze aman na upendo sisi kwa sisi.Tanzania ni yetu bas tusitengane wandugu.NAWAPENDA SANA!
Ni mambo ya Kishamba sana, alafu tukishaonana then ni kinafuata??
 
Back
Top Bottom